@dunialeo_: Baadhi ya wazee na wakazi wa Ilala jijini Dar es Salaam wamemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati mgogoro unaoendelea katika Masjid Al-Rishaad, wakisema hali hiyo imewanyima fursa ya kuendelea na ibada kama ilivyokuwa awali. Wakizungumza Julai 21, 2026, walidai kuwa waumini wamekuwa wakikumbwa na changamoto mbalimbali, ikiwemo kuvurugika kwa shughuli za ibada kutokana na mgogoro unaoendelea kuhusu uongozi wa msikiti huo. Wazee hao walimuomba Mufti wa Tanzania na viongozi wa BAKWATA kulifuatilia suala hilo kwa kina ili kupata suluhisho la kudumu.#dunialeoUPDATES

DuniaLeo
DuniaLeo
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 22 July 2026 13:09:53 GMT
34899
691
133
163

Music

Download

Comments

chuse350
Bin zuber :
Misikit ni ya mwenyezimungu KWANI TATIZO NINI?
2026-07-22 14:51:34
10
khalid.hemed
Khalid Hemed :
shida ni kua hawa wapinga dua baada ya swala na kupinga kusoma bismillahi kwenye kuswali kwenye suratul faatiha watu hawataki itikadi hizo walioasisi waliasisi dua zinasomwa sasa wavamiwa kisha utaratibu unabadilishwq shida ni umadhehebu hapo
2026-07-22 20:53:30
6
chockotiktok
chockotiktok :
Mzee Wacha aibu Kuna bakwata Na Mufti ya Tanzania.Muacheni mama Samia ahudumikie taifa
2026-07-22 18:56:20
10
black.mamber31
Black mamber :
alafu hao ni madalali wa ilala nawajua hapo wamesha pata mteja wakununua huo msikiti naona
2026-07-22 20:12:48
6
fehedi.zahoro
Fehedi Zahoro :
ni huo wa ansar?
2026-07-23 02:11:50
2
murshididrisa
murb :
kumbe shida ni itikadi acheni hizo mambo
2026-07-22 19:02:44
7
more.technic
More technic :
Wenyeji hamtaki kuswali mskiti muliutelekeza kitambo tokea mabati ya mjerumaji mpaka yalitoboka na kuoza sasa mskiti umejengwa na mashaa Allah kwasomeshwa wanafunzi wengi sana nilipita nikashuhudia niliswali sala ya ijumaa mashaa Allah kulikua kumejaa sana mpka nje.
2026-07-23 05:12:22
2
barakamuro437
BBM437 :
mskiti ni mali ya mwenyezimungu changamoto ikowapi
2026-07-22 19:25:32
3
dharryabayah
🥻DHARRY ABAYA TZ 🛒🛍️ :
kuna vijana wanasomeshwa dini pale nyie mnataka nn zaid ya kupiga pesa
2026-07-22 19:27:23
6
mad_hadhrami
rITZrOTZ ♊ :
why dini moja ime trend sana mwez mzimw huu ? 🤔
2026-07-22 21:32:32
0
mohd.massoud4
Mohd Massoud :
Mskiti ni nyumba ya Allah sw acheni vurugu
2026-07-22 14:32:01
6
ibrasmart.electro
Ibrasmart electronics &perfume :
mmh mtihani kabisaa,ibada ndo muhimu ndio utakayoendanayo kwa mola wako sio msikiti jaman
2026-07-22 16:26:11
5
mwamgongokigoma
Mwamgongo Kigoma :
nakumbuka halakati hizi zakugombania mskiti zimeshaisha wazee wangu haifai kugombea msikiti niaibukubwa tulionayo waislam
2026-07-22 16:01:26
5
raboli_electronics
RABOLI :
Au Msikiti una Frem za biashara ??? 🤔🤔🤔
2026-07-22 20:07:37
0
hussein.kawambwa
Hussein Kawambwa :
sasa nyinyi mnaweza kuhubiri amani kama hawa watu mimi nipo lala kwa zaidi ya miaka 38 sijawahi kuwaona nyinyi nimekuwa mtumishi wa serikali kwa miaka 22 sasa sijawahi kuwaona mbona achaneni na dini ya Allah
2026-07-23 02:37:22
1
dr.engineer1
Dr.Engineer :
Allaha ilinde nyumba ako na watu waovu, aaamin
2026-07-22 19:43:23
3
msemaji64
msemaji6 :
kwani mmekatazwa kuswali?
2026-07-22 18:56:32
3
msuya.issa
Msuya Issa :
achen tamaa za Dunia Kwan Kuna alikatazwa asiswali
2026-07-22 20:48:43
1
hussainmaula920gm
[email protected] :
KILA MMOJA AENDE KIJIJINI KWAKE AKACHUKUE MSIKITI AU MISIKITI NI MJINI TU .
2026-07-22 19:28:24
2
omari9769
Omari✌️ :
Sio bakwata au Mufti jamani
2026-07-22 19:18:07
1
fundiothman2
fundi othman :
sheikh walidi alisema lakin. kuna baadhi misikiti imewekwa bondi watu wamechukua kibunda benki.
2026-07-22 19:31:26
1
othuman330
Othuman :
kwani msikiti ni nyumba ya mtu au mnakatazwa kwende kaswali?
2026-07-22 15:25:14
1
mussagwaya57
Ismailgwaya :
Wamevamia kwa lengo gani kwanza tuanzie hapo
2026-07-23 06:59:45
0
abdulshaabab
Abdul [email protected] :
bakwata ndio tatizo kwenye hii misikiti yetu Allah atuongoze ameen
2026-07-22 14:50:34
1
To see more videos from user @dunialeo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About