Wewe unaesoma comment hii: Mungu akafungue milango yote iliyokuwa imefungwa mbele yako. Yale majibu uliyoyasubiri kwa muda mrefu yakakufikie siku ya leo, na kilio chako kikageuke kuwa kicheko cha furaha na ushindi.
🙏🙏🙏
2026-08-23 07:24:52
293
collo wa Jesus :
you are too young to be my enemy,,, young pastor
2026-07-30 19:44:02
450
Michael Papaa :
hii tiktok nachoma moto leo
2026-07-24 06:56:59
175
@Benja 🤓 :
Kino kii
2026-07-31 12:56:13
56
Milembe Mpuli :
hapo biblia utasoma na utasikiliza utake usitake hallelujah 🙌 🤣🤣🤣
2026-07-22 13:39:52
150
Elizabeth P. Minja :
ni Kwamba mtasikiliza bible mtake msitake😂
2026-07-25 21:37:43
15
ANKOMASE Only one I like :
🤣🤣🤣🤣bwana yesu asifiwe guys
2026-08-25 15:05:40
5
D££ ph™ph™ :
nilichokuwa nategemea kimeenda sio 🤣🤣🤣
2026-07-26 14:53:25
6
mordekai Tz :
tulio kuwa makini kwa mdada gonga like
2026-07-26 14:04:02
6
AM🌹 NJERI 🌞 :
😂😂😂pst ungegoja kidogo pia sisi tutafute bible zetu 🤣🤣🤣