@reganvois89: bikira maria mama wa Mungu UTUOMBEE 🙏✝️🙏✝️

Richboy mkatoliki❤️✝️
Richboy mkatoliki❤️✝️
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 22 July 2026 13:37:56 GMT
45890
4821
186
461

Music

Download

Comments

mamasimba21
Mama Addy :
🙏 the power of rosary
2026-07-24 09:51:03
0
patrick.benedicto
patrickbenedictor0 :
kaka iyo rozari ya mateso 7 ndo ipi samahani naomba unisaidie niifahamu na mimi
2026-07-22 16:11:31
19
leikl3
Leikl :
Mume wangu alipata tatizo kazini lakini nilisimama na Mama Bikira Maria kusali Rozari kila siku jioni Mungu alimrejeshea kile kilicho chukuliwa na adui
2026-07-23 05:55:29
21
dady.philo
Dady Philo :
MAMA MARIA mama wa wote
2026-07-22 19:32:22
20
user9069668842945
user9069668842945 :
Hongera sana kwa shuhuda zako nzr naamini kupitia ww utawainua vijana wenzako
2026-07-24 08:54:47
3
user4861057503297
user4861057503297 mercyvmsclin :
mateso saba ni kiboko majibu yake ni hayachelewi ukiwa na iman
2026-07-23 11:31:14
6
amina_james12
Amina_james :
AMINA, Hata mimi kwa kupitia Rozari ya huruma ya MUNGU Naona sana yalio mengi hakika MUNGU ni mwema
2026-07-23 07:36:17
15
kokusheky
jesca revocatus :
TUTAKUKUMBUKA DAIMA FR. NKWERA. SHUJAA WA IMANI. ULITUIMARISHA. TUNAOMBA UTUOMBEE HUKO ULIPO. MAMA BIKIRA MARIA ATULINDE LEO NA DAIMA YETU. AMINA
2026-07-23 06:37:19
12
gabrielkallua
Gabriel Kallua :
Ninafurahi sana kuona Wakatoliki wanashuhudia matendo makuu kama hivi
2026-07-23 07:53:02
10
emmy.boniface
Emmy Boniface :
wengine mnasalije jamn mbona mm Nasali sana rozari na sijibuwi??🙏🙏🙏 ngoja niendelee kusali
2026-07-23 08:48:24
5
julieth3755
Julieth :
nahusuhuda wa kutosha jamani dah
2026-07-23 19:12:01
2
oma7391
oma :
Sala zote kwa mama Bikra Maria zina nguvu sana.
2026-07-23 08:03:17
9
pritty.macha
pritty girl💜💜💜❤️💖 :
hii familia ina ulinzi wa bikira maria shetani hawez kuingia hapo
2026-07-22 17:48:34
18
rizikiphilip487
rizikiphilipo :
naomba nielekezwe ili mtoto wangu aache pombe jamani.
2026-07-24 19:22:44
0
millynmwelu
millys :
Rosary ya mateso🤲 Saba mama maria wa kibeho utuombee
2026-07-24 16:39:36
0
angelicascolayuda
scola A17 :
Mama Maria nisaidie kwenye magumu ninayoyapitia
2026-07-22 19:38:29
7
benfitson
Benfitson :
Rozari ni hatari sana ninaushuhuda nayo
2026-07-22 19:12:01
5
temalirwa
temalirwaniweabig :
hongera sana kwa kumkaribisha bikira maria nyumbani kwako.
2026-07-22 21:19:39
5
lidia.edward1
Lidia Edward :
mimi mwenyewe nataka kijua iyo rosali y mateso saba nijifunze kusali nina matatizo y kufa mtu
2026-07-23 12:38:25
1
rosebosco281
rosebosco281 :
Rosari ni kila kitu kwangu ni mengi nimeyaona kupitia kusari Rozari
2026-07-23 12:44:10
5
magenvqx6nr
Pharidaa❤️❤️🎉❣️ :
Shuhuda zingine Zinatutia nguvu Tusikate Tamaa na kutukumbusha Wakati wa Mungu ni Sahihi na haujawah Chelewa🥰🥰🙏🙏
2026-07-23 10:49:57
3
emma_mchagga
emma_mchagga_mkumbi :
Mwenyekiti wangu wa Parokia Mr Symphorian Ling'wentu Huyu Jamaa Anasali Sana Rozari
2026-07-23 19:43:25
2
judy_museo1
julie lovie❤ :
Background song is sweet
2026-07-23 18:15:12
1
nhandi.john
Nhandi John :
hongera sana kaka mana kusali mpaka ujitoe hasa umeweza mpaka nataman. mama bikira maria niokoe pia
2026-07-23 04:37:06
4
To see more videos from user @reganvois89, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About