@dallarzpage: Let us get back to aviation and the engineering behind it. Today we are going to look at this piece of machinery called Concorde aeroplane and all the interesting bits behind it. #plane #engineering #History #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪
inaweza kufika speed ya SR 71 blackbird❤️🔥❤️🔥❤️🔥
2026-07-22 16:45:48
4
Antoni Sakudari :
nakubali mzee, nmeifatilia sana hii ndege,, natamani irudi kweny aviation sector coz ,,, now dunia ina matajiri wanaoweza kumudu gharama za hii ndege
2026-07-22 17:44:12
6
༒︎𝐏𝐑𝐈𝐍𝐂𝐄 𝐕𝐀𝐍𝐍𝐘༒︎ :
mzee baba unajua haki
2026-07-22 18:08:30
5
arafati :
safi kaka nakukubali sana toa elimu usichoke unanipelaka shule bila kukaa darasani hongera sana unapatika wapi kaka
2026-07-22 15:04:12
1
🔹 @Calvin Corlin ✔️ :
kumbe ndo maana huwa wanasema unajikuta Concorde 🤣🤣🤣 ndo nimeelewa leo😂
2026-07-22 19:15:36
5
Amos MWIRIGI :
waaah! Sina la kusema, thank you.
2026-07-22 14:13:22
1
faraja chunya :
mbona wanasema ilikua na ajali nyingi kutokana na mwendo mkali
2026-07-22 14:53:03
0
mgagi :
ndugu yangu mungu akubariki wewe ni mtoto wakiafrika uwendelee kuelimisha jamii
2026-07-22 13:53:23
0
S H F :
Your started well brother- but you miss some very important information- kweli Concord Iliana safari 1969,,, na kusitiaha safari official 2003. LAKINI concord hawakufanya safari nyingi za abiria -Just after started the journey 1969, baada ya safari Chache tu ilipata ajali - na kuanzia hapo haikufanya Tena safari za Abiria….. Im not sure Ikiwa safari zake zote zilifika hata 20 routes ——
2026-07-22 19:04:33
1
SIGMA VISION :
It was too dangerous 😏
2026-07-22 20:57:11
0
Say_Harry14 :
Mwanangu genius
2026-07-22 23:31:07
0
Keddy Nation :
nimekupata mubashara kbs%
2026-07-22 21:11:13
0
DBland💀 :
ujawai kubiangusha bro popote👊👊😁
2026-07-22 21:16:41
0
mohbad :
ndio mana nilikua nikikosea mama ana nitukana ana sema ume kua concordeee😁😁