mafundisho ni mazuri lakini kila siku yamelenga kuwakosoa viongozi lakin mapungufu ya upande wa pili hayasemwi.
2026-07-22 16:08:46
3
Thinkermotive :
Kuna haja ya viongozi wengi kwenye idara nyingi waipate elimu hiii, tunashuhudia mambo mengi ya ajabu kinyume kabisa na maadili na miongozo ya kiutumishi kutoka kwa mameneja au wasimamizi Wana tabia za kugawa watu kwa ukabila na udini Sasa hiv kwenye taasisi frani na mamlaka frani za kiutumishi Zina dhalilisha Sana kwa maslahi ya kikundi frani cha watu!
2026-07-22 19:56:42
0
Cletus :
boss mwenyewe sio senior 😂😂😂
2026-07-22 20:55:55
1
tedy :
wewe baba uko vizur sanaa
2026-07-22 19:09:17
1
Cis :
hawafanyi hivyo...
2026-07-22 16:00:06
1
King Nsangila II 🌟 :
Kila nikikusikiliza napata funzo kubwa saana
2026-07-22 16:18:38
0
ZUHAM electronic :
Huku tunaongozwa kituo na CO wakat MD yupo 🤣
2026-07-22 16:57:21
1
Davister4 :
upo vizuri mkuu
2026-07-22 14:47:56
0
Denzleproducts :
Kuna mtu natamani aione hii maana tunawekewa mpk vitoto ndo vishike ofs🤣🤣🤣🤣
2026-07-22 16:57:03
2
Nick_mushi :
👍👍👍
2026-07-22 17:18:23
0
To see more videos from user @kashera264, please go to the Tikwm
homepage.