@gademit_jitu1: #kichwaniamnashule #alixmiamiswimsuit #gademittvroadlifeexperienc #wasafi @FARU JOHN @Shary the bad 🦺✅✅ @G wa uswaz Tz✔️

KICHWANI AMNA SHULE 🤕
KICHWANI AMNA SHULE 🤕
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 22 July 2026 13:51:54 GMT
72878
6223
300
105

Music

Download

Comments

paschalmsike25.0
I'm Yohana 🚛🚛 :
marcus huyooo ni kamanda kabisa
2026-07-22 17:35:12
72
chiefmunyigumba
Chief Munyigumba 🏹🇹🇿 :
afande marcus
2026-07-23 01:42:33
0
nickysony23
NickYsonY :
hongera ake
2026-07-22 23:00:49
0
costa.curta32
costa curta :
Afande marcus 🙌🙌🙌
2026-07-22 17:17:13
2
kuluchumu
Boss lady🦋🦋🦋 :
oya eeeee 10/10 siku alinambia twendeeee🤣🤣🤣🤣nilijiona mzunguu
2026-07-22 18:29:23
25
dayness87
Dayness 🚦 :
🙏🙏Me mwenyew nampenda yule jamaa acha
2026-07-22 18:49:14
27
badrin_assey
Badrin~Assey :
Aaah yule jamaa safi sana.... Mimi kuna siku nilipasukiwa tairi ya trela ekseli ya mwisho aisee sitamsahau kwa msaada na usalama aliyonipa Mungu amuweke sana✌
2026-07-22 15:22:30
29
jacksonlyimo487
captain kibac✊️✊️✊️✊️✊️ :
hana noma yl brother
2026-07-22 20:19:45
0
jimmyy592
Jimmy :
fred yule ana,noma
2026-07-22 22:07:01
0
official_issa_moh_jr
Issa Moh Jr :
Oya weeeeee so poa yule mwamba noma sanaaaa 10/10
2026-07-22 20:37:21
0
user6166342912472
kanumu :
ukifanya mema watu wanayaona abarikiwe sana
2026-07-22 18:54:29
23
shebby.ottawa
Shebby Ottawa :
yule mwamba namkubari sana aseee nishakutana nae kama mara 3 hivi
2026-07-22 14:32:26
13
manasemichael6
mtu mbad :
namkumbuka San mwamba 24 alipataga majanga kipind tunalipua kitonga alipigwaga na mripuko kwasab ni mtu safi tulimpeleka hospital kwa moyo Moja big up San kwa mwanbaa
2026-07-22 15:59:58
23
skipper._16
𝗦𝗞𝗜𝗣𝗣𝗘𝗥_16 :
video yake ipo wapi mkuu
2026-07-22 15:55:26
9
achimwene13_
Achimwene13 :
Respect sana
2026-07-22 15:47:56
10
jerrylenk2gmail.com
Jerry Lenk :
Hakika hila walio wengi wanyanyasaji yule jomba namkubali sana
2026-07-22 15:40:53
9
kokolo462
user95979331230417 :
yule safi sana daa yuko safi sana
2026-07-22 15:35:33
6
kimilike2
kimilike :
Marcus hana baya
2026-07-22 18:56:14
7
mkenyavinny23
mkenyavinny23🇰🇪 :
mimi mwenyeww nipo 🤝🙏🏻
2026-07-22 16:21:52
6
rajabu.mdoe
rajabu mdoe :
afande mlikus
2026-07-22 18:55:32
5
kipepeo1234
kipepeo :
Nimefika ndugu zangu nimesikia mnanitafta
2026-07-22 19:00:29
5
isaackchuma4
isaackchuma282 :
safi sana waiyovi waige mfano
2026-07-22 18:57:03
7
travellerboy26
𝙏𝙍𝘼𝙑𝙀𝙇𝙇𝙔 𝘽𝙊𝙔🇹🇿 :
yule mzee yuko vzr hana shida ndg ndgo
2026-07-22 15:33:25
5
baba.ethan16
baba ALICE :
marcus hana noma
2026-07-22 18:47:54
14
david.michael3594
David Michael :
faza Marcus big up Hana baya
2026-07-22 19:42:12
5
To see more videos from user @gademit_jitu1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About