@enockchristopher5: Tukio la kusikitisha limetokea nchini kenya baada ya video kusambaa mtandaoni ikimuonesha mama mmoja akimwadhibu mtoto wake kwa njia ya kikatili sana katika video hiyo mama huyo anadaiwa kumchoma mtoto wake kwa maji ya moto na vijiti vya kiberiti baada ya mtoto huyo kutuhumiwa kuiba baadhi ya vitu ndani ya nyumba Tukio hili limezua wimbi kubwa la hasira na masikitiko miongoni mwa wananchi pamoja na watumiaji wa mitandao ya kijamii kupitia maoni na mitandao hiyo wananchi wengi wamejitokeza kulaani kitendo hicho na kutoa wito kwa mamlaka husika kuchukua hatua za haraka ili kumlinisha mtoto huyo na kufanya uchunguzi wa kina kuhusu mazingira ya tukio hilo Wanaharakati wa haki za watoto wamekemea vikali kitendo hicho na kusisitiza kuwa ukatili hauwezi kamwe kuwa njia sahihi ya kutoa nidhamu kwa mtoto jamii inaendelea kuhamasishwa kulinda haki na usalama wa watoto huku wakisubiri hatua za kisheria zichukuliwe dhidi ya mzazi huyo ​Je, maoni yako ni yapi? Karibu sana kwenye uwanja wa comment. Usisahau kulike, na pia pita pale kwenye channel wetu wa YouTube, Stein TV, usisahau kusubscribe na kulike ili kupata habari mbalimbali kiganjani mwako. ​#STEINTV #SAAYAUSHUHUDA

SAA YA USHUHUDA
SAA YA USHUHUDA
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 22 July 2026 13:56:23 GMT
15254
310
72
23

Music

Download

Comments

mamaaa1515
Kamum& :
This so disturbing 😭😭😭
2026-07-22 21:29:19
0
user1014360696103
user1014360696103 :
E Mungu nipe maisha marefu nilee wanangu.
2026-07-22 17:09:45
10
hayaropoka
Haya Ropoka :
wauaji hawa jaman😭
2026-07-22 16:30:47
5
happyshaneri
Happy Shaneri :
mama usichome yote naumia sana jamani. mm nahisi hasila siwez kumpa mtoto wangu kwa mama wakambo naumia sana
2026-07-22 23:37:38
2
uniquedeeyhoney
UNIQUE HONEY :
duh😭😭😭😭😭😭iman iko wapi 😭😭😭
2026-07-22 19:20:01
1
user3401745966155
tunaemsigwa :
baba yeye anachukua video
2026-07-22 20:23:03
1
rehema.gasper49
Rehema Gasper :
Daaaah Ata kama mtoto amekosea
2026-07-22 21:16:05
1
makora_john
makora_john :
achukuliwe hatua
2026-07-22 19:40:40
1
lowieliiii7257
Lowieliiiiii :
daah inauma
2026-07-22 18:34:58
1
sophysophy430
Soso🥰🦋 :
Naonaa anaasira huwez kujua anamsumbua kiasi gan wazazi wanateseka sana ukijumlisha maisha magumu na apo naona alikua anamtishia tu hawezi kumchoma siunaona mwishon kamtizama tu🙆‍♀️🥺 ukute ayo ni maji sio mafuta
2026-07-22 19:20:19
4
letcia.chinguwile
Letcia Chinguwile :
siiiosawaaaaaaa
2026-07-22 16:37:34
0
user1529238661665
user1529238661665 :
sitaki TikTok
2026-07-22 17:13:24
1
user8087596280256
elmirian 🥰🥰 :
daaaah Mwenyenzi Mungu
2026-07-22 20:08:49
0
arianah449
arianah :
huyo alieko pemben ni mpumbavu kabisa
2026-07-22 15:06:00
2
julieth.majenzi
Julieth Majenzi :
huyu baba anajielewa kwer daa mtoto mpaka anaomba MSaada kwake lakin kakaa kimya
2026-07-22 19:16:46
0
kamdori28
sophia😺💚 :
uyu mama sio mwanae ndomana anamfanyia ivyoo inauma akiih
2026-07-22 20:13:24
0
florakibira
flora kibira :
mmmh me ngoja ninyamaze ila nimejsia vbaya sana
2026-07-22 20:11:41
1
aishadeuc.deuc
Aishadeuc Deuc :
jamani kwann
2026-07-22 17:42:18
0
beatricekileo826
Beatrice Kileo :
ivi kweli hawa watu wanajuwa uchungu wa mtot kwel
2026-07-22 19:35:47
0
victoria.diyami
Victoria Diyami :
Hy mama anaakili timamu kweli
2026-07-22 17:04:38
0
liuxie51
liuxie :
Baba hamna hapo,,,😭😭😭😭
2026-07-23 06:34:44
0
user1241798662mukure
mukurejanes 👞 👠 🩰 👠 :
Eee Mungu ulijuwa kwann sikusoma niwe kiongoz maan ninavyoumia ungekuta mm nauwa kwa upanga tuu😢😢😢😢😢😢ila kuna binadam atuna hofu nahiss mm nisingekuwa na hof kwa watuhumiwa😢😢😢😢Mungu nisaidie
2026-07-23 06:37:35
0
imaima4684
Ima Ima :
jaman ila mungu atajibu kilio chauyo mtoto
2026-07-23 07:41:36
1
ayoub.yusuf2
Ayoub Yusuf :
ni wapi hii video tumtumie mama gwajima?
2026-07-23 10:20:54
0
To see more videos from user @enockchristopher5, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About