@bbcnewsswahili: Baada ya kusikia simulizi ya Nduta Mbogori kuhusu jinsi anavyoishi na ugonjwa wa Parkinson, Dkt. Rahel Leonard Kilimba anaelezea kwa undani zaidi ugonjwa huo, ikiwemo chanzo chake, walio katika hatari kubwa ya kuupata, pamoja na matibabu yanayosaidia kudhibiti dalili zake, katika mahojiano na Elizabeth Kazibure. 🎥@brianmala - #bbcswahili #kutetemeka #waridi #wanawake #fypシ゚viral #foryou
bbcnewsswahili
Region: TZ
Wednesday 22 July 2026 13:58:40 GMT
Music
Download
Comments
kinguluila8888 :
msichana wetu uko vizuri,mkopo wetu ulienda sehemu salama
2026-07-22 14:50:56
12
Jah Priest :
Ila jina lake zuri..Parkinson
2026-07-22 14:15:18
1
minna :
Sio nervous ni nerves
2026-07-22 15:29:22
1
zaitunihamza :
mm sio mzee nina umri wa miaka 22 ila naweza kukaa mkono ukawa unatetemeka mpaka najishangaa au mt anaweza kuniambia mbona mkono unatetemeka
2026-07-22 14:46:09
2
Daudi N kimario :
dada unaongea poa sana Hongera
2026-07-22 15:11:27
4
Adila Ahmed :
haya maradhi ndio chanzo cha kifo cha baba yangu, mungu amrahamu,
2026-07-24 20:27:42
0
Deo Hema :
Aiseee kaelezea vizuri sana nimeelewa kirahisi mno🙏
2026-07-22 21:21:22
1
lady fina :
mungu tuepushe na haya magonjwa familia zetu hazina kipato cha kutosha kwenda hospital
2026-07-25 10:32:39
0
𝐌𝐑_ 𝐒𝐈𝐌𝐎𝐍 𝟐𝟓𝟔 :
yaani kaelezea vizru daktr 🥰
2026-07-23 05:19:41
0
nunda🤫🤫💯 :
safi sana,unaelezea infat,good madam,mm simsom sana lakin nmekuekewa
2026-07-23 11:34:32
0
AZAMA :
jansu wawatu jaman
2026-07-22 17:45:57
0
Risay_jr :
Geriatric condition🙌🏻
2026-07-22 14:18:25
3
gingerdream18 :
Mmejalibu watu wa bange
2026-08-29 23:31:48
0
mama agness :
sisi huku kwetu mtu akitetemeka wanasema umeiba vitu vya marehemu
2026-07-24 08:20:03
0
MZIKI SAFI STUDIOS 2026 :
angalia dr Sunjay Weed by Cnn utapata tiba
2026-07-23 15:44:31
0
abby❤🥰 :
@Mr. Peace ✌️
2026-07-22 18:35:18
0
Fatima Cusmanshay :
🥰🥰🥰
2026-09-07 21:20:37
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.