@furniturehome.tz: Employee of the month 🤩🙌🏻 #furniturehometz #homeaesthetics #interiordesigntanzania #tztrendsmedia #luxurylivingtz

Furniture Home
Furniture Home
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 22 July 2026 14:07:53 GMT
251169
9106
151
324

Music

Download

Comments

cutelady733
✨ Shuhy💫 :
10/10 let's go
2026-07-23 09:04:54
0
msuya001
Madam msuya 001 :
Kunaofis wanaingia job saa nne niunganishenii bas
2026-07-23 07:22:12
92
user20245187chichi
Chichi🧚‍♀️💜 :
mimi kwanzia iyo11 nimelala mpaka uyo mwanaume anarudi job ndonaamka
2026-07-22 22:29:12
96
grey_feeling
love :
mazoezi ya yoga beach aisee😆😆
2026-07-23 10:05:19
0
ms_b280
Official__b🎀 :
uyuu kaka nimuongoo hee😁😁
2026-07-23 07:09:34
48
___r.e.y.__
___r.e.y.__ :
If kama mnadate sawaaa out of that msituchezeeee😏😂
2026-07-22 22:24:53
23
janethrose.jastin
Rozzy🫦 :
Kaz gan izo wanang😂😂😂
2026-07-22 17:01:32
55
mr_liverpool94
mr_liverpool94 :
ukichek tu timetable unajua ni uongo
2026-07-22 17:23:22
24
inno_sax
BREATH OF WORSHIP :
kwenye hiyo ratiba nilikuwa nasubiria ratiba ya kufanya ibada, lakini duuh😭😭😭
2026-07-23 10:17:31
9
zuuh2138
Zuuh :
yaan mm sina hata mpangilio hata kidogo naeza amka saa 8 usiku na na nikala lanch na nikalala tena nikaamka saa12.00 asubu na nikala dina nikaenda mahangaikoni saa 4 nikascroo tktk na 8 mchana nikaenda kuchetua saa 10 jion nakunywa chai saa 4 usiku naenda bar kulewa yaani mm mwenye sielewi huu mpangilio wa ngu nachoka mm😂😂
2026-07-23 04:17:20
4
lizzah_beth
lizzah_beth :
TUTAWAFATILIA😅😅😅
2026-07-23 09:28:30
2
captain.nipsey
尼普西船长🧢 :
Hakuna movement ya kutoka sehm moja kwenda sehm nyingine kwa owner🤷🏻‍♂️
2026-07-23 06:59:35
2
familia.kibena
Familia Kibena :
amna mke apo broo 😂😂😂
2026-07-23 06:44:49
0
yuuhroyalstore
Baby yuuh 🛍️ :
Jmn uyo boss hakun nafas mim nd kaz nayoitakaa io😂
2026-07-22 22:23:45
2
alfa_moga
Alfa_moga :
Ila wanawake 😂😂😂
2026-07-23 05:57:56
1
awosh_08
Awosh_08 :
2026-07-22 22:56:00
1
gradnessdavidmage
Gradness david Magendo :
naomben na mimi kaz😊
2026-07-23 08:16:22
1
fettysinga
fettysinga :
Mmmh Mh
2026-07-23 04:57:28
2
lucianakp22
Being MomG :
Wewe employee wa wapi mwanetu unaingia saa 3
2026-07-23 09:18:55
2
anithasereha
Annie🌹 :
Naomben hyo kaz ya hvo matajir😁
2026-07-23 07:25:21
3
samaki_zone
samaki_zone :
Ni huzuni
2026-07-23 15:13:23
0
hysura.hysura
Hysura Hysura🇹🇿🇹🇯🇺🇸 :
saa kumi na moja mmi nishamka Kabla shekh hajamka
2026-07-23 16:09:31
0
jessica.t426
Jessica :
saa nne kuingia kazini naomba muunganiko
2026-07-23 16:36:51
0
neria1061
neria fred :
Kwani boss akilala ndo sk imeisha au😳
2026-07-23 16:05:18
0
To see more videos from user @furniturehome.tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About