@oscar_mkatoliki: 🙏 SHIRIKI KATIKA UTUME WA KUENEZA INJILI Asante kwa kuendelea kufuatilia na kushirikisha mafundisho haya. Ninaendelea na safari ya kuboresha ubora wa maudhui kwa kupata: 📷 Camera 🔍 Lens 🎙️ Microphone 💡 Lighting Kama unatamani kuwa sehemu ya utume huu wa uinjilishaji kwa lugha ya Kiswahili, unaweza kuniunga mkono kupitia: M-Pesa: +255 750 327 323 Jina: OSCALIUS ELMES NIHONGATAILE 🙏 Mungu akubariki kwa ukarimu wako. Kila mchango utasaidia Injili kuwafikia watu wengi zaidi kwa ubora unaostahili. #OscarMkatoliki #KanisaKatoliki #TafakariYaLeo #InjiliYaLeo #NenoLaMungu