ningekuwa Mimi ninge tafuta sehemu ninge packing kama dakika 10 tuu bas
2026-07-23 00:56:08
40
Jimmy Moshi :
mwambie tushawajuwa kitambo tuuu
2026-07-22 21:45:04
11
Karim Kim's ♈️ :
Kwni jamnai ku overtake sahem ambayo haifai si unatakiwa uandikiwe fine.? Kwamba madereva hatujui sheria?
2026-07-23 00:34:53
5
user7471406732324 :
ww huyo anafuata shelia za barabarani hapo mbele kuna lasta na makazi ya watu mbele kuna zebra braza lazima uzingatie usalama ila siwezi ongea sanaa sijajua huko nyuma mulipotoka kaka poree ila kwenye makazi ya watu na kuna vivuko tunapaswa kupunguza mwendo ufike salama kaka
2026-07-23 02:08:51
6
Geofrey steven :
wabadilishe mbinu iyoo tushaichoka 😁
2026-07-23 05:51:27
4
mimiwewe71 :
Sasa unataka kwenye speed bumps na zebra crossing aendeshe Kwa speed!?
mbona vitu vinaonekana Kwa macho
2026-07-23 08:56:02
3
Emanuel :
ipo siku tu hawa
2026-07-23 10:53:16
3
DAUD ALLY :
hapo morogoro Jordan na akuna askari mweny gar hiyo Moro
2026-07-23 14:45:07
1
🇵🇸MUXEVENEBLEH🇴🇲🇦🇪.❤️💪✅ :
kwan hio ni highway kam china lazm speed iwe ngap, kam umeshindwa kuovertake uliporuhusiwa huwez kuovertake ulipokatazwa 🤔
2026-07-23 04:16:15
2
Maulid Zanzibar :
kuna aina nyingi za kubeti Muache afande aweke mkeka ikiwa ods zinaruhusu😂😂
2026-07-23 04:42:35
1
҉C҉҉H҉҉U҉҉L҉҉U҉҉B҉💙🤞 :
8/8 iyo moro 😂😂
2026-07-23 11:42:12
1
mlugurudigitalsolution.tz :
ndioo yupoo doliaa au ni namna yakukagua madereva makinii ??
2026-07-23 16:48:08
1
reynhmatem :
mbona askari yupo sahihi maana Kuna zebra na bamps
2026-07-23 13:43:58
0
mgaya :
askari hawezi kufunga leseni, mahakama ndio inaweza kufuta leseni, ndio mwalimu alivyo tufundisha shuleni. lakini Tanzania kuna ujinga mwingi sasa hio inasaidia nini? Tanzania 🇹🇿 inapenda sana kuonea watu wake
2026-07-23 05:52:22
1
Isiaka Likokwe :
kazingua
2026-07-22 20:24:47
1
edwardkimangila :
dah
2026-07-23 11:37:57
0
KAMBARE WA NCHIKAVU🚛 :
iposeku atakuja kuesabu mataili ya tela yap mangapi
2026-07-23 11:23:44
0
Abdulngoi 🇹🇿 :
hata dodom yupo wanamna hy
2026-07-23 14:42:44
0
OMMY MSOFE :
Allah Kwanza 🤲
2026-07-23 11:09:27
0
𝐒ⓗ𝐚мᵇ𝐚 ᵇ𝑜Ⓨ.. ✅✅ :
Overtake tuone kaka... 🤣🤣🤣🤣
2026-07-23 10:40:50
0
Kassim Mwitu :
mm ninge ovateki kama umeme angeona vumbi tu
2026-07-23 12:22:10
0
addy victor 🦋 :
We fata sheria acha kulalamika 🤣🤣🤣
2026-07-23 10:38:45
0
Emile :
Dawa yake ndogo tu
2026-07-23 10:38:21
0
Mona 💄 :
Umekula? why usipark ukala umwache aende
2026-07-23 10:34:58
0
kariakoo super shopping :
Mm na akili yangu namkanyaga vzr tu
2026-07-23 10:30:32
0
To see more videos from user @richardmangula900, please go to the Tikwm
homepage.