📉💵📈💹😊 :
Acheni kupush ajenda za kipuuzi, first, kama mnadhani hiyo siyo Argentina mnayoijua, ni kwa sababu tokea Mwanzoni mwa mashindano Argentina hajacheza na Timu shindani, na mara chache alipokutana nazo sote ni mashahidi kwamba maamuzi ya marefa yalionekana wazi kuwa favour. Enzo Fernandez alikuwa akicheza upuuzi mno na ile red card aliistahili. kuhusu swala la Lisandro Martinez, labda uwe umemjua kutokea kwenye hilo chapisho unalolisoma, lakini Kwa sisi tunaomfahamu Licha, huyo jamaa ni injury prone, huwa anatoka hivyo hivyo akitembea utadhani hajaumia na anaenda kukaa majeruhi miezi na miezi, Acheni kupika upuuzi, Argentina was outshone in that final, the quality in the spain squad is top notch 🔥🔥🔥, asiyekubali kushindwa si mshindani, ongelea performance mbovu ya hao wachezaji wa Argentina, halafu mnapoongela hayo makubaliano ya kutokushinda tunaomba mtuambie kwamba Dibu Martinez hakujuzwa lolote, so kwa zile saves🙌🙌😂
2026-07-23 06:47:16