@ibraah.og: TRAIN 3 ZENYE KASI ZAID #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪

IBRAAH OG
IBRAAH OG
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 22 July 2026 16:01:54 GMT
258669
8425
86
248

Music

Download

Comments

mohd_grtz
moh'd :
Kwa tz Bora tubaki Na hizi Za kawaida Kwa usalama wetu , Kwanza tunawahi wapi😂😂😂
2026-07-23 11:52:14
24
abdulymashiku
duly :
nimeumia sana kuona SGR imeandikwa samia
2026-07-23 12:32:59
3
samson.mushi
maestrow 🐶 :
ivi mnajua ata ndege haiwezi kutembea kwa speed iyo lakini?
2026-07-23 12:32:59
7
miller2415_
The Dreamz :
kisa cha kushikilia roho njia nzima bora yetu no hurry in africa run like elephant
2026-07-25 10:40:34
1
aloicy.mmassy
Mmasy🇹🇿🇺🇬 :
yote Tisa Kumi nimeumia kuon SGR imeandikwa samia
2026-07-30 13:26:43
2
user8447337806199
user8447337806199 :
tren zetu zimefungiwa injini ya trecta hahaha
2026-07-23 15:35:31
5
nyamatimbwa6
nyamatimbwa :
inatosha hiii hiii basiiiiiiiiii
2026-08-03 08:51:40
0
arishnyaronga
Arish .KJ :
kwa speed iyoo ina maana Dar to mwanza ni 2hrs.
2026-07-23 07:16:29
5
supremecryptos
Supreme Crypto :
kifaa kinachotembes kwa kasi zaidi kilichotengenezwa na mwanadamu ni Voyage 1
2026-07-25 18:03:43
1
bewise1104
Bewise :
Tuwaombee marehemu wetu wapone na majeruhi wapumzike kwa amani.
2026-08-01 05:33:38
0
azalia_30s
𝑨𝒛𝒂𝒍𝒊𝒂 :
SGR vs KATARAMA LUXURY me naweka KATARAMA mbele 😅
2026-08-02 05:38:13
0
user6185452820775
user6185452820775 :
ibaki hii tu, 600ph tunawahi nini
2026-07-24 07:51:49
1
peter.zabroni7
Peter Zabroni :
trend imeandikwa Samia express 😁😁😁😁
2026-08-05 05:15:29
0
user4075570719843
@joshuavicent613 :
ok
2026-08-06 06:59:32
0
shafiimakongo
shafiimakongo :
la kwetu linaliaga kwiiiiiiiiiiiiiiiiiihaaaaaaaaaaaakwiiiiiiiiiiiiiiiihaaaaaaaaaakwiiiiiijjjjjj..dah nachoka mie😂😂😂
2026-08-02 13:52:17
0
jullyjoel
ngosha 0769352825 :
huku kwetu inatosha hii tatizo la umeme ni sugu litaua matajili wetu tukose wa kutulipa tukufe wote kwa njaa na mawazo
2026-07-23 05:56:44
0
fozidy3
Foz# :
kwahiyo mtu anayetoka Dar kwenda mwanza anafika kabla ya mtu anayetoka mbagala kwenda mbez hajafija maaajabu haya
2026-07-23 14:39:16
2
0fficialld
dorry dolie💞 :
yaaan ikija hiii kwetu daladala zote tunazitupa jakalani maana hakuna atakae panda
2026-08-06 06:17:29
0
dan.keti2
Dan Keti :
hello
2026-07-29 17:12:03
0
user1096157773559
jastin mpejiwa :
VP
2026-07-29 15:06:38
0
user3549362032426
ONELAUOCEAN :
from Nairobi to Mombasa ni 420km hiyo ana SEMA 600 from Nairobi to Mombasa hiyo in Tanzania words
2026-08-10 07:14:35
0
saidi.mbangwe
saidi mbangwe :
apana watatuuwaaa
2026-07-29 18:13:03
0
madrasatu.alwahha
Madrasatu Al-wahhaab :
Kwanza tushukuru KWA hichi kidogo.. mengine huko mbeleni majaaliwa
2026-07-31 18:20:02
0
msauz.hokororo
Msauz hokororo :
so kwa mda uwo atakiw mtu kukatza lod. vp bongo iwekwe wap iyo lod?
2026-07-30 20:09:54
1
user6171036216316
user6171036216316 :
la kwetu linakimbia tatizo umeme tuu
2026-07-23 07:04:19
0
To see more videos from user @ibraah.og, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About