Hivi mnavyosema fake inamaan mnamaanisha TBS hawafanyikazi yao au na basi isaidieni serikali hizo njia zinszotumika kuigia
2026-07-22 20:24:28
1
Emcosmeticsnew :
Hahahahaa Ila Azepa
2026-07-23 06:13:31
0
Baby J🥰 ( JD cosmetics) :
Na kwakweli huwezi mwanetu😂🥰
2026-07-22 18:35:14
0
Salma jimmy :
Ni ya uson bro
2026-07-24 10:38:28
0
fetty d :
watanzania wote mnatumia fake achanen kujidanganya bhn sema tu hiz fake zipo za standard ila zote ni fake hakuna mtu anaweza nunua products original tz
2026-07-23 06:12:58
1
Mayerh🤍🦋 :
uskut na mm ni fake nlinunua maan ckuon matkeo kopo zma had lmeisha na nlinunua 85k plus delivery 100k🙌
2026-07-22 18:20:30
0
vanilahizy :
shida ya wabongo hatutaki kupima kwanza ngozi zetu tunapenda vipodoz trending tu wakat kila mtu anangoz yake
2026-07-23 08:12:35
1
To see more videos from user @azepa_cosmetics.tz, please go to the Tikwm
homepage.