waamiye ukweli kaka. jamani kama mm mumewangu yupo serekalini jamani siwez kusema waambiye wajuwe
2026-07-23 13:30:13
9
Happymbwambo :
wangu shahawa zake zinawasha alafu zimebadilika rangi, Zina rangi ya udongo, Hadi saivi hatushiriki na hospital hataki kwenda😭😭
2026-07-23 12:43:47
6
Susan Mihuru :
uyu dada kasema kweli kabisa, yani hapo kwenye kuwashwa jamani.
2026-07-23 17:48:56
5
mama galls🥰 :
na wakiambiwa ukweli wanapanik
2026-07-23 11:02:17
6
Mulhart :
huyu dada apewe uongoz mkuuu
2026-07-23 04:23:51
9
N@jm@🇰🇪 :
Huwezi ona mwanaume aki comment hapa😂😂
2026-07-23 08:29:13
8
mtoto wakusin :
mm niliachiw ugonjwa wakutokwa uchafu wenyeharuf kari nikamwambia mwenzang akaniambi itakua mm ninamatatizo yang mm nikajitib nikapon nanikamwacha asij kunialib kizaz chang
2026-07-23 16:07:27
5
To see more videos from user @petterafyayamama, please go to the Tikwm
homepage.