Mikocheni as you call it seems to be the cbd ya dar
2026-07-23 05:21:53
7
Software Designs Hub :
mikocheni ni CBD ya Dar hahaha kilimani ni mtaaa Nairobi
2026-07-23 08:52:44
32
saidseif930 :
Nko kenya lkn mikocheni nimeikubali
2026-07-22 18:30:00
19
frenzy❤️🔥💫o1 :
Unapimanisha Kilimani na vitu za dunia🤣🤣
2026-07-22 17:49:07
19
McOng'wech David :
2026-07-23 12:19:09
6
Mkenya Daima :
kilimani ni kijiji tu hapa Kenya
2026-07-23 10:25:17
15
lashari@03 :
Nairobi 🇰🇪 kenya number 1
2026-07-25 17:22:59
5
theemijikendakidd :
mm mtanzania lakin Kenya iko juu🤣
2026-07-26 06:53:06
6
Elvis ⚓ :
hii ni Githurai sio kilimani
2026-07-23 05:52:57
9
Gidion Jr :
Ujue sometimes tuwe na tabia ya kujifikiria sometimes hii mikoa ya wenzetu tunawez ona mizur na imejengek kuliko cc lkn kabla ya kuwaz hivyo jaribu kutambua na ukubwa wa maeneo ya kimrab eneo likiw dogo ni rahis kujengek tena kwa bajet ndogo lkn eneo likiw kubwa unawez kuta nusu ya miundombin yake tu ndio bajet ya eneo dogo lote