@singelichannel: MUZIKI WA SINGELI UNAZIDI KUSHIKA KASI ZAIDI KULIKO HATA MIZIKI MINGINE KAMA BONGO FLEVA. WASANII WA SINGELI WAMEZIDI KUONYESHA UBUNIFU WAO KUHAKIKISHA KAZI ZAO ZINAZIDI KUPASUA MIAMBA YA NCHI NYINGI ZAIDI DUNIANI. ITANGAZWE RASMI KUWA TANGU DUNIA YA MUZIKI WA SINGELI IANZE KUUMBWA HUU UBUNIFU ULIONYESHWA NA MWADADA DIJJA PAMOJA NA MUCKY TALENT NI UBUNIFU AMBAO HAUJAWAHI KUFANYWA NA MSANII MWINGINE YEYOTE YULE KITU KINACHOFURAHISHA ZAIDI NI KWAMBA WASANII WA SINGELI WANAHAKIKISHA KILA MMOJA ANAKUWA NA LADHA YAKE INAYOWATOFAUTISHA KWA WATEJA WAO ( MASHABIKI) PONGEZI ZIENDE KWA WASANII WOTE WA SINGELI KWASABABU KILA WANACHOTULETEA KINATUFUKIA KWA NJIA YA UKUBWA SANA #SINGELIHAIONGOPI👑
ubunifu upi ambao wasanii wa bongo fleva hawajawahi kufanya ndugu mtoa post?
2026-07-23 07:21:26
1
nasra ❤️😜 :
alafu eti wanasema mwanaume anapendaga mwezi mmoja tuu mm siamini ww je?
2026-07-23 03:10:15
5
@master plan😎 :
jina plz la nyimbo
2026-07-23 07:16:59
0
Young Bazzo :
yaan bongo mziki wa kujivunia ni mziki wa singeli hiyo ngonfleva daah sijui
2026-07-23 06:56:13
2
BLOCK 72🚭📸📶 :
@2k Dernier né:Nakumbuka mwaka 2006 niliitwa na bibi yangu kijijini PEMBA aliniambia mambo mengi sana ila maneno ninayoyakumbuka hadi leo aliniambia "mjukuu wangu ipo siku moja watu wengi watapoteza mda wao kusoma comment yako"
2026-07-22 21:52:51
5
Kelvin Edmund :
Khadija kama umefatilia movie ya msanii chado masta inaitwa pressure yupo umo
2026-07-23 06:11:07
0
it’s drat💕 :
Khadijah🦋💕
2026-07-23 09:48:01
0
Fetty cute 💸✈️❤️ :
🥰🥰Nyimbo kali san 🥰🥰🥰
2026-07-22 22:14:14
2
Bati bomba tz ltd :
muck talent mnyama
2026-07-22 19:14:28
3
user5361794713658paison Vicker :
Tanganyika daima🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-23 09:58:25
0
kabezi jau :
bubu mziki
2026-07-23 04:59:29
1
MZINGUAJI😎😁 :
nakubali
2026-07-23 09:30:44
0
meshabui :
n kweli
2026-07-23 02:06:24
2
aisharashid310 :
mnzur na nawapenda saaanaaaa wote wanajua kuimba inaitwaje
2026-07-23 10:42:26
0
mrs secho :
nomaaaaaa
2026-07-23 08:54:29
0
🦋🦋subirah🦋🦋 :
inaitwaj
2026-07-23 09:57:58
0
naina😍 :
Iv singeli na kihindi vinaundugu
2026-07-23 09:52:17
0
Office Ashley 🫂❤️🔥❣️ :
Nzuri sana na mnajuaa
2026-07-23 09:30:31
0
abdulazizi Jumanne :
mnajua ongelen
2026-07-23 09:25:59
1
Dollar Jumaa :
Kabisa
2026-07-22 23:01:12
0
To see more videos from user @singelichannel, please go to the Tikwm
homepage.