Da chido za jioni Namuombea kazi mume wangu ya kudisg hizo picha na mabango anakazi nzuri sana 🙏🥰
2026-07-22 17:48:14
534
kamchoro :
Kunyonoa Nywele ni Bei Gan nimlete Mamtu 😂
2026-07-22 18:30:24
214
.baby lyne🌸🦒 :
Kutiwa rasta😂😂🙌
2026-07-22 17:43:08
156
Asia makeup artist :
Aiseeeee uyo fundi kiboko
2026-07-23 05:09:01
17
🦋 Lydia 🦋 :
nakuja kutia lasta 😂😂😂kesho
2026-07-23 03:23:04
9
Rhian Denice🥰😇 :
waaaambieee wamezid
2026-07-23 06:13:36
0
Pee🎧 :
ila umefanya nichek kwa nguvu jamn kam mazur kunyonolea nywele 😂😂😂😂
2026-07-22 17:35:59
70
Dija salon 💄💄 🇹🇿 :
nimechekabmpala nachozi kunyonolea mitindio ya nwele 😅😅😅
2026-07-22 19:05:13
15
Light outfit store :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Leo acha nicheke sikucheka toka asubh ila hii imenifurahisha
2026-07-22 17:57:25
24
mamyusaid :
Hivi inamaana hata kabla hajaprint hajaisoma kazi nzima na hakukutumia artwork kwanza muipitie ndo iwe printed
2026-07-22 20:25:27
7
Mamamkubwa :
🤣kwenye moja na mbili
2026-07-22 18:15:55
12
@pretty mowana💝💝💤 :
10/10
2026-07-22 21:45:26
0
Rebby Julius :
tena AI za kiswahili🤣🤣
2026-07-22 18:14:18
10
AP_Graphics_Lab :
huyo sio graphic designer😀😀. lakn pia wafanyabiashara mkiambiwa garama ya kudesign matangazo kwa adobe mnasema bei ni kubwa mnasema mbona AI ipo. aya sasa kazi ya AI iyo apo. graphic designer akikutajia bei usidhani anatamaa ukitaka mtelezo matokeo yake ndo hayo ila pole sana.
2026-07-23 08:36:55
5
Sheilah Juma :
Pole kipenziii jamaniinimeumia jamani
2026-07-22 17:40:25
9
dahu2020 :
naomba nije hapo uninyonolee nywele kwanza dada😂😂😂😂
2026-07-22 17:39:01
7
its_momo🦋 :
Nmechekaaaaaa😂
2026-07-23 08:41:07
1
user394509598 :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka kama fala
2026-07-23 06:14:36
1
To see more videos from user @chido_point, please go to the Tikwm
homepage.