@ashmar_quotes: Naweza kusema kwa yakini kwamba miongoni mwa riziki nzuri alizoniruzuku Allah ni uwepo wako katika maisha yangu. Wewe ni zawadi ambayo moyo wangu huishukuru kila siku. Mapenzi niliyo nayo kwako si ya kawaida ni neema ambayo Allah ameijaalia ikae ndani ya moyo wangu. Nakuombea kila siku, nakuthamini, na namshukuru Allah kwa kunijalia nikupende kwa dhati. Hakika wewe ni sehemu ya rizki yangu ya thamani zaidi🌸🩷.#fy #contentcreator #lovequotes #TrueLove #viralvideo @TikTok @tiktok creators @Tiktok Tanzania🇹🇿

🌸~♡Ashmar~🦋🥰
🌸~♡Ashmar~🦋🥰
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 22 July 2026 17:23:18 GMT
24169
1422
9
285

Music

Download

Comments

blairde.unique
BlairDe Unique :
mashaallah yan mie nahamisha 2 mume wangu asema nimekua na maneno mazuri kumbe yatoka kwako mashaallah 😁😁
2026-07-23 07:12:11
4
muu...2
Muu..2 :
copy please
2026-07-23 13:39:36
2
komred.junior
Komred Junior :
@Radhimudash Qalby
2026-07-27 03:51:37
0
taitamtata18
Taita Mtata :
@khadija
2026-07-24 05:27:42
0
To see more videos from user @ashmar_quotes, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About