Magallah, tafuta content nyingine. Philosophy na Psychology havijawahi ku allign 100% na dini.
Maelezo yako yana makosa mengi sana.
Hongera kwa kujaribu, lkn pole kwa kuharibu ufahamu.
2026-07-23 07:34:34
3
Nyati :
Napataje vitabu vyako?
2026-07-22 19:46:56
1
little p :
asante mtumishi
2026-07-22 19:57:57
1
John Mwasala :
asante sana
2026-07-22 18:19:34
1
esterkwembe :
Kumbe ndiyo maana misikiti inatumia alama ya mwezi juu na picha ya yesu ina JUA nyuma yake
2026-07-23 12:16:02
1
Kalinjuma Elias :
Hii ni Elimu mpya 🤔
2026-07-23 16:42:45
1
Tizzo :
Umeyatoa wapi maneno hayo?
2026-07-29 08:50:27
0
mzarendoTz :
una akili sana kaka
2026-07-23 05:37:27
1
esterkwembe :
Hii elimu ni kubwa sana na ukitaka kuelewa jamaa yupo deep kiasi gani nenda kasome Surah Qadr na tafsiri yake kwenye Quran.
2026-07-23 12:14:55
1
ulugulu :
acha uongo bibilia ni mkusanyiko wa vitabu vya kusadikika
2026-07-23 08:21:54
1
bizzy :
maanake biblia ni nguvu kuu ya kiume na quaraan ni nguvu kuu ya kike???
2026-07-22 18:08:53
1
coman-msafi :
bto qur'an sio maneno kma ya vitabu vyote ulivyowah kusoma ktk hii dunia usifananishe qur'an na chochote em jalibu kuzingatia hayo maneno yani hujaitafsili qur'an inavotakiwa ila umetumia fikla zako ndo ulipokosea
2026-07-25 18:11:02
0
MEDARD A. ISSA :
umewadanganya sana aisee. duuu
2026-07-23 14:18:00
1
paragoni :
ufunguo wa ufahamu gani wewe wakati biblia imejaa mafumbo na vitisho
2026-07-26 13:12:23
0
To see more videos from user @ufahamu.kamili, please go to the Tikwm
homepage.