@director.marlow: #congotiktok🇨🇬🇨🇩🇦🇴🇨🇲🇬🇦🇬🇳🇲🇱🇷🇴

Director Marlow
Director Marlow
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 22 July 2026 18:09:33 GMT
26509
841
65
46

Music

Download

Comments

wemampotwa
Jordan%W :
serikari ingirie kati utupaji gan uu wa pesa kuna watu wanalala njaa wanaumwa awajapata matibabu
2026-07-22 18:14:42
7
evakibeha
Eva Kibeha :
wasukuma wasomi afu wanapesa bwanaa usisahau mtu akituzalau ss tuna zalau zaidi
2026-07-23 05:12:16
1
glory.mexhack
Suzy :
Ngoja ntafute hela 😂
2026-07-23 04:04:07
1
amina.yanga2
Amina yanga :
siyo pesa zetutz🤣🤣🙌
2026-07-23 04:10:56
4
mayala1645
James Mayala :
kwa style hii serikali ichukue hatua haraka sana
2026-07-22 21:52:39
2
divarmlawa4
OfficialDivar ❤️ :
au siyo hela mbna hamlukii
2026-07-22 22:47:14
1
alicemmangaog7
Mrs salimu❤️💋🫀💪 :
Hii tz
2026-07-23 05:01:33
0
user1729671612539
Brother Kenny💪💪 :
Hela hizi hizi ninazoo tafuta Mimi au🥺🥺
2026-07-22 22:08:20
2
mariethajoseph515
Marietha Joseph :
Nikweli au Al?
2026-07-22 22:29:53
1
yohana.deusi8
Yohana Deusi :
Wasukuma 😳
2026-07-22 19:53:49
1
mrloth37
IGNAT🧢 :
Huu mchezo hauishi mpaka iishe 😅😁
2026-07-23 04:54:47
0
user6592661712582
Diana's :
Mhiii Dunia nifumbo yame ata sijui hasubuhi naamka vp
2026-07-22 23:58:24
1
g0688874
David ndek (DAKEA) :
hapa BOT n mda wa kufanya Kaz yake
2026-07-23 05:09:41
0
meddy1938
meddy :
mbona pesa sio ya tanzania
2026-07-23 05:06:01
0
monicabeaut
monica beaut point🦋🌹 :
me wanipe milion moja tu jaman niongeze mtaji wangu khaaa
2026-07-22 23:05:45
1
benjamindmalando
benjamindmalando :
ila katiro🤣🤣😂😂 hapo ngoja Michele tu
2026-07-23 04:57:45
0
rehemaabdallah33
Rehema :
Nvua ya helaaa
2026-07-23 04:49:46
0
ally786718
ally :
umetisha
2026-07-22 21:50:54
0
samson.sanane
SAMSON SANANE :
Kwa Sheria na kanuni za fedha, ni makosa kutupa Kwa njia hiyo, ni kosa kubwa sana kisheria.
2026-07-23 03:31:47
0
sarahofficially23
Sarah 🇹🇿Msukuma 🇧🇩❤️ :
Hii sio Tanzania
2026-07-23 03:23:00
0
worini222
Ivvany✅️ :
munge nialika namimi bas jaman nikawa mfanya usafi😁😁 ukumbini
2026-07-23 05:19:10
0
user9716765871961
Esther Mbega :
msilewe sifa
2026-07-23 04:13:36
0
fredy.felix1
Fredy Felix :
hapa sio Tanzania 🇹🇿 hacha upotoshaji
2026-07-23 04:43:25
0
user3609588172550
Michael :
hizo hela sio za Tanzania
2026-07-23 04:40:45
0
regnajcom0
KING JR :
Wala hii so ya tanzania
2026-07-22 23:11:57
0
To see more videos from user @director.marlow, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About