@missvicky005: Like, Comment and Share tupate opinions za watu mbali mbali😅😅😅 Lazima tuwabambe mwaka huu Vijana… #raisiwagraduates #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya #daressalaam #mapenzi
kama ulivyosema wa kwanza ilikuwa kusafisha Pride na kukeep up with the Ego ila wapili km kweli alionesha true love and care and respect basi atampata yule kijana... coz there r some men who can't bear their ego and pride being messed or played with
2026-07-24 23:17:20
1
doremi pro :
bro kafanya unyama sanaaa apewe zawadi
2026-07-25 00:03:16
11
N@n@_255 :
mimi hata story sijakiliza naangalia tu rangi mwanetu 😂 dah uko kma chocolate 🍫 ☺️🥰😘
2026-07-23 05:58:31
18
Erick Cantona :
kumbe wanatongoza hivyo basi sawa🤣🤣🤣
2026-07-23 18:39:50
4
Hellen Betwel🤎 :
Mweny makosa shgamtu ambae alimkataa mar ya kwanz
2026-07-22 18:56:20
7
Tiffah Alna :
unangoziii nzur
2026-07-23 08:09:32
4
Filbert Kimati :
Hiyo inaitwa mix by yas.
2026-07-23 08:51:39
2
Free life style :
wote hawajielewiii
2026-07-23 08:49:37
2
Hyrooncute :
alie takwa wakwanza engeendelea na msimamo wake
2026-07-23 10:17:03
2
Arsh Daddy :
wow datz amazing story yan so 😘😘😘😘
2026-07-23 14:57:33
1
Grace😇 :
Wanaume ni wajanja saana jamn, tuwe nao makini , ila mimi nashauri tusikubari kutongozwa na mwanaume aliyemtongoza rafiki kwanza alafu ukakubari jua hapo mtaliwa wote😅
2026-07-24 23:37:58
1
shamba_market :
muwanaume
2026-07-23 07:22:38
2
Radon🦙 :
alaf na huyo mwngine akija anaambiwa yy ndo anapendwa yule WA kwanza hayupo nae
2026-07-23 12:27:06
1
ben Admiral :
amna mwenye makosa🤣🤣🤣
2026-07-23 03:03:30
1
Snazzy Glow✨ :
Mm niko na nyusi tuu🥰🤭 tupe siri madam
2026-07-23 10:32:31
1
K muddy :
kijan
2026-07-24 12:25:16
0
mbele# :
we nimzuli 🥰
2026-07-23 13:03:43
1
Kisandu jr09 :
2026-07-24 06:17:27
1
2006 arena :
part 2
2026-07-23 07:21:45
1
ZOMBIE #255 :
Wa kwanza
2026-07-23 10:10:53
0
Chief utelezi :
Msiwe Wagumu sana,Tena kama una kampan ya rafiki yako Arafu Mshikaji wote Anawafaham Ukiwa mgumu Lzm jamaa Atahamia kwa Rafiki yako
2026-07-25 04:41:31
0
r@h€|☺️ :
wote
2026-07-22 21:46:34
0
d5 mnyama :
jamaa yuko sahihi alilipiza usumbufu wa kufatilia
2026-07-22 23:40:50
1
To see more videos from user @missvicky005, please go to the Tikwm
homepage.