kwan lazma iwe ya papaya me naipenda ya stroberrie
2026-08-30 00:09:42
2
Grace Kamoga :
Bei gan dear
2026-07-26 04:27:13
1
keku_cosmetics :
Glamour nzuri jamani asa ya papaya
2026-07-29 09:44:24
1
Ezzedine🦋💙 :
st ives naweza nikaongeza nikapata bright zaidi maana mimi natumia sabuni ya sante na licorice root body oil ina ni bright vizuri ila natakaa niwe zaidi bright
2026-07-23 12:39:08
0
JOJO POINT COSMETICS 💄 :
kiukweli ninzuri sana pia michirizi ya kijani inatoa
2026-07-28 13:22:46
2
🎊😍 :
bei
2026-07-22 18:44:28
0
Mima Hussein632 :
Tuonyeshe na vya uson dear yani Una rangi nzur mashaallah
2026-07-31 05:14:45
0
careen🤎 :
unapaka mafuta gan
2026-07-28 13:36:12
0
Husnah :
nahitaji dia napataje
2026-07-27 12:04:41
0
reginaian3 :
st iven ndio mara 4 kwa wiki
2026-07-27 07:24:42
0
To see more videos from user @luma.cosmetics1, please go to the Tikwm
homepage.