@iam_fantac: If he gives you nothing, just leave gal🤣🤣🤣🤣 #fantac #viralpost

iam_fantac
iam_fantac
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 22 July 2026 18:40:56 GMT
49005
3650
682
715

Music

Download

Comments

ms___naima
ms___naima :
We umenambia nikiwa nishachimba tayari, ila after wasting a whole fucking year 😂
2026-07-23 15:16:51
2
kalekwa43
herijoyce 🥰 :
ni kama wa kwangu kila nikimuomba hela anasema hana na anakasirika kabisa😁😁
2026-07-23 05:24:29
162
lyka_0122
LYKA😜😜 :
😔Naombeni mnirudishe apa kila nikitaka kusahau niione hii video.
2026-07-23 10:57:12
90
zuulady3
👑✨Tkyo 👸✨ :
Niko single Jamn 💔
2026-07-23 20:57:01
0
nazminaactress
❤️Nazmina🦋🦋 :
Kuna uyu hanipi pesa nikipost vizawadi nimeletewa na wengine ananmby natamaa😂😂
2026-07-23 07:30:13
59
adya_mtunchya
MTURUKI from singapal :
asanteee
2026-07-24 10:52:07
0
dhailath
dhairath🦋 :
jaman shida tunataka type zetu🤣💔 mm acha nijalibu uyu wasasa
2026-07-23 15:29:28
0
officialreeny6
🦋Reeny🦋🌸 :
Very true
2026-07-23 12:38:53
1
nee44888
nee :
bora akunyime ela wengine hadi chakula kuna watu n wachoyo jaman😂
2026-07-23 13:18:18
41
mommii1778
🥰 :
Kuna mm sasa mwaka mzima ata Mia sijapewa eti ana mikopo analipa kwanza lakini akiwa sawa atanipa tu 🤭🤭 na sijawahi omba hela 🤔 eti nakujenga usinipende kısa hela nataka tujenge true love 🤔🤔. Nyieeee me sielewi 🤭🤭🤭. Na ni long distance relationship 😂😂😂
2026-07-23 08:26:35
15
cic6809
🫧Cici 🖇️💕 :
Ngoj nichimbee mim🤧🥺
2026-07-23 05:13:02
7
napah053
NAPAH :
alafu kuna mm naibaga 😂😂😂😂akasema nikiiba nisichukue zote 😂😂
2026-07-23 11:09:58
9
official_vicky80
official vicky :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 me wangu nilikua nkimuomba elaa kma nmtuma txt anakua haioni mana hajibu kitu ukimpgia anakujibu akipata atanipa na anafanya kazi bhc nikawa namwambie nipe elfu 2 nkasuke anajibu hanaa nkasema weee hunjui kumbeee🤣🤣🤣🤣🤣 ngoja kwanza nilkua namlia buyu akituma txt asbh najibu uck whatsapp namblue tik cmjibu napost nmependeza .nimesuka niko zangu out akawa anauliza out ankutoa nani hizo nywele umesuk pesa kakupa nani nilimjibu jibu moja 2 baba ako mzazi ndo kanipa sema jinginee😂😂😂😂 had leo simjawahi kumtfta tenaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ctk ujinga huo mm😅😅😅😅
2026-07-23 09:42:39
9
babe_eyes
Babe_Eyes :
Wewe ndo mwanaume wa kwanza kusema ukweli MUNGU akubariki sana 🥰
2026-07-23 06:48:27
6
To see more videos from user @iam_fantac, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About