@rarezanzibar: ZAMANI NIGHT 2026 Karibu ujumuike nasi katika usiku wa kipekee wa ladha za Kiswahili, burudani na utamaduni wa Zanzibar. 📍 Mahali: Jengo la Makumbusho, Mnazi Mmoja, Zanzibar 📅 Tarehe: 25 Julai 2026 🕓 Muda: Saa 10:00 Alasiri (04:00 PM) Utakachokipata: 🍽️ Swahili Buffet 🎶 Live Taarab Aina za Tiketi: 🎟️ Silver – Tsh 100,000/= 🥇 Gold – Tsh 150,000/= (Front Line Service) 👑 Royal – Tsh 500,000/= (VIP Service + Special Gift) 🎫 Tiketi zinapatikana: Zamani Cafe, Mombasa, Zanzibar. 📞 Kwa mawasiliano: +255 775 502 525 @zamanicafe #tanzaniantiktok🇹🇿 #foryoupage #foryou #fyp #fyppppppppppppppppppppppp

Rare zanzibar
Rare zanzibar
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 22 July 2026 20:09:29 GMT
5341
327
8
26

Music

Download

Comments

hawahamisi907
💫chihawa❤ @Azzah❤🥀 @hafsa❤❤ :
mashallah nimekupend bur mama
2026-07-22 20:42:52
1
khamis7314
khamis :
Mama sasa pumzika tena
2026-07-23 09:24:43
1
msema.mazurui
Bati bomba tz ltd :
tabia kutolingana sio jambo la kushangaza
2026-07-23 05:36:28
2
saleemhemedy
Saleem Hemedy :
nilipokuwa mdogo nyumbani walikuwa wanitania wanasema eti mama yangu huyu kisa tumefanana macho alikuwa akioneshwa TVZ
2026-07-23 05:13:54
2
user1781437666670
business life :
sauti Jamil❤️👏👏
2026-07-23 05:12:47
1
sungura386
sungura :
yaaa nakubali
2026-07-23 07:52:11
0
official.yonger8
it,s yasser 🇫🇷 🇹🇿 :
mansha allah fatma isa me ndo moyo wko ❤️🥰
2026-07-22 21:37:35
0
To see more videos from user @rarezanzibar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About