@ali_wisdom: Kila siku inayopita inatukumbusha kuwa maisha haya si ya milele. Tunakimbizana na dunia, lakini hatujui ni siku ipi itakuwa ya mwisho kwetu. Ewe Mwenyezi Mungu, tupe mwisho wenye kheri, tusiondoke duniani ila ukiwa umeridhika nasi. Na umjibu kwa rehema zako kila aliyesema kwa unyenyekevu: "Yaa Rabbi." Amina. #creatorsearchinsights #viralvideo #fyp