@benjamin_bogonko: Kuna siku lazima hizi vitu zihappen kwa marriage yako!!! #women #relationships #foryou #foryoupage

Benjamin Jr Bogonko
Benjamin Jr Bogonko
Open In TikTok:
Region: US
Thursday 23 July 2026 00:46:20 GMT
361807
29472
3502
5887

Music

Download

Comments

angies480
angies :
kuna siku deal zitaivana na tutafurahia pamoja
2026-07-23 15:02:45
465
brigadier.kanyaseme
@Brigadier-Backup.🇰🇪🇰🇼 :
Kuna siku facing your partner due to disagreement will be more scary than facing a high court judge..
2026-07-24 01:33:07
1
nyarmaseno11
Joyce Tieni Kanema121 :
Kuna siku utajifanya mgonjwa ndio usiguzwe.😂
2026-07-23 01:00:08
1964
amondirobi
robi :
Kuna siku utalia lakini hauta bembelezwa
2026-07-23 07:10:21
2309
gospelliewa
liewa :
kuna siku utaamka usiku ushangae alafu urudi kulala😂
2026-07-23 08:35:36
1160
o2thed2thez
Vin :
Na hizo siku zote zinaweza fuatana in a week, kila siku na yake
2026-07-23 08:22:30
1159
jewelk88
jewel karwitha :
kuna siku utajua hauko pekee yako😅
2026-07-23 07:16:35
744
mamakehadassah2
NDUNGE “mamakehadassah” :
Kuna siku utashangaa kama ni wewe uliachangua Huyo mtu 🤣🤣🤣
2026-07-23 06:46:31
824
kartellitohjaboma
Kartellitoh Jaboma :
hizo zote nimefanya gari ndo sijazima juu sina😂
2026-07-23 07:38:44
285
miahkandie
Kandie @LFC (N.K)✨ :
Kuna siku mtaenjoy saaana
2026-07-23 10:43:03
180
amblessedhawi
Am chosen :
kunasiku utakumbuka Ex
2026-07-23 06:53:18
735
blesseddaughter4
blesseddaughter4 :
ukipita hii stage unakua nonchalant 😂
2026-07-23 06:29:59
4
karuevero
Karue Gathoni Veronica :
Niko honeymoon phase and I'm scared for those days.
2026-07-23 08:31:13
10
user6158519940531
gladys :
single and searching from Kenya
2026-07-23 07:49:30
2
1_jennyce
Jennyce :
have experienced all this..en im in love again😁
2026-07-23 11:07:11
4
meijah001
meijah :
Kuna siku utadiscover ur partner/marriage is a blessing to your life🥰🥰
2026-07-23 18:01:45
4
sheekaris254
ShiiKaris💞 :
😂😂😂Kuna siku utalia usiku mzima na hutaona wa kukuuliza ni nn mbaya🫢🙆
2026-07-23 08:15:08
34
emmyjannety
Janet janie :
Kuna siku utapika supper na mwenye kukula hakose kukuja😂😂😂😂😂😂😂
2026-07-23 11:23:51
328
tukiko15
collo :
Na genz wanafikiria hiyo siku haitafika🤣
2026-07-23 07:34:18
305
ruth.wambugu0
ruth wambugu :
kuna siku utawish aende for a month upumue🙌🫢😅
2026-07-23 10:43:43
83
joywambo230
Joy🙏wambo :
Kuna siku utakua prayer warrior Kwa marriage
2026-07-23 08:54:07
93
lucyisaisi
babygirl :
Kuna siku nitaangalia kwa ukuta for two weeks 😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-07-23 07:59:07
44
To see more videos from user @benjamin_bogonko, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About