Kama Hao wageni wananunua kwa bei ya juu kuliko nyie bas ni jambo zuri sana kwa wakulima
2026-07-23 10:50:54
53
Valisa :
japo mimi sifanyi biashara ya mazao ila ukisema kwanini sisi tusipeleke nchin kwao kwani mbona watanzania wanaenda china wananunua vitu kwa bei rahisu na kuja tz kuuza bei juu hii imekaaje biashara ni watu na changamoto ni fursa tuache kulalamika serikal kwani mkulima analazimishwa kumuuzia mchina? basi na sisi tununue kwa bei juu kwa wakulima wachina wakija tunapanga bei sisi 😂😂
2026-07-23 09:48:31
13
joe sam :
na sisi tunaenda china tunanunua vitu viwandani kwao tunaexport kuja tz
2026-07-24 12:18:47
9
neriusrugaika :
Mm kama mkulima nataka aje mchina, watanzania mnawalalia sana wa kulima
2026-07-24 10:25:10
6
💸💸 :
Tafta shirika likusaidie kuexport
2026-07-30 22:36:03
1
Olim🇹🇿🇩🇪 :
Hatimae wakulima wamefikiwa. Umoja ndo unao wapeleka watu mbali, ukiwa pekeako pekeako lazima ulalamike.
2026-07-23 10:03:42
11
mollel :
God bless you
2026-07-25 11:23:59
1
Mottoz01 :
Dada umeongea kitu point mno, hapo ukitaka uliingie jambo, utaingia ugomv na serikali, 1: wachina, wahindi wao wanaletwa na serikal direct, sabb ya wao ku export serikal inanufaika, 2: njia ya kuuza mazao kutoka kwa mkulima kwend kwa mgeni zimefungwa, 3: sera za mtanzania hasa mkulima kupata masoko ya uhakik ya nje au hapa ndan ni changamoto, mfano:: ushuru, bei za usafirishaji 📈📊 3: wageni wana mitaji mikubwa kuliko watanzania wengi 4: sekta ya mazao bado haiaminiki kweny ma bank ya ndani, ukiemd na proposal ya kutaka 50mil tu ununue mazao bank haikuamin haioni kama ni fursa ambayo ianweza mtoa mkulima, NB:; mawazo yangu hayatanabahi na kuleta taharuk kat ya wananchi na serikali,
2026-07-23 09:11:17
6
Rahma Nanyeu :
Sasa nyinyi munanunua bei yachini bora wa nunue waotu
2026-07-30 05:35:34
4
_x.ben :
kama wananunua kwa bei nzur kutoka kwa wakulima acha waje tu mkulima naye apate weeee🤣🤣🤣
2026-07-25 19:30:40
3
user97184594468260 :
nielekeze nmana nitaweza kuingiza hicho kiingilio
2026-08-10 10:07:36
1
everything kanike :
kama wananunua kwa bei ya juu, i think that is good hasa kwa wakulima
2026-08-03 07:59:57
1
LOHAR13579 :
shida wanaokwamisha ni hao watendaji wa ngazi za juu wanatengeneza mazingira ili hao wageni ndio wawe wameshika makali
2026-07-23 07:40:36
5
promotionshoes🥿👠👡🩰🩴👟👞 :
tatizo mitaji dada
2026-07-30 03:08:48
1
master kuku mbeya :
unataka sisi wakulima tuendelee kuwa maskini
2026-08-01 17:49:06
1
💞#DANI_LIFESTYLE💫 :
MIKATA YA SIRI INAYO INGIWA SERIKALI NA NCHI ZINAZO TUPATIA MISAADA. HIVYO NI NGUMU MWANANCHI WA KAWAIDA KUSHINDANA NA HAO....
Tena mbaya zaidi wanalindwa na serikali hii hii..
2026-07-26 07:10:25
1
goldencosmetics&jese services :
kama unataka kuexport mazao au biashara ya export nitafute mm nakuelekeza masoko BURE vibali MASOKO KILA KITU N BURE
SERIKALI INATOA MIONGOZO YAKE KUPITIA MFUMO WAKE WA E-KILIMO
2026-08-19 11:16:45
2
DON :
tufanye kama south au vp😂😂😂
2026-07-23 12:07:42
6
Ms Jullie :
Kwakweli uliona mbali na Mungu atakusaidia tuchangamshe akili zetu watanzania can't wait tarehe 25/7/2026🔥🔥
2026-07-23 05:33:04
8
E.sir fundy :
sasaa tatizoo n laa nanii mmmm
2026-07-24 08:50:42
1
emanuelimushi290 :
unaelewa maana ya nchi kuuzwa. na bado mpaka mseme.
2026-08-08 14:42:06
1
Tian kimaro :
hawana kosa miaka yote tulikua tunafanyaje sisi
2026-07-23 18:51:01
3
treyshan🇹🇿💕 :
Hapo kwenye waindi na waarabu huwezi kusema ni wageni bila kufatilia vizuri maana wapo waarabu na waindi wengi tu ambao ni watanzania ila hao wachina ni wafanya biashara ambao wananufaisha wakulima na siyo kitu kibaya ni kama sisi tunavyojaa kwao kununua vitu
2026-07-23 10:06:22
2
user1088127729275 :
Great
2026-07-24 15:47:00
1
Some :
na sisi tukienda china tunaenda viwandani.
2026-07-24 04:10:47
1
To see more videos from user @fmmazao_connect, please go to the Tikwm
homepage.