@abdillahi449: inshallah akipenda mungu 2027 kura tutampijia mwanati

Abdilahi b.k
Abdilahi b.k
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 23 July 2026 05:37:42 GMT
1184
46
12
1

Music

Download

Comments

sanyo.ssh7
Happy nation :
Asante mfananuzi wetu wape usife moyo
2026-07-25 15:46:07
1
jr.jumjum005
Jm. Jumjum :
alah atakujaalia siku moja.akupe ushindi.ututimizie ndoto zako.na ss tukushukuru
2026-07-23 05:53:07
2
babyhajrun0
jito pevu :
Hi
2026-07-23 09:06:33
0
kifaranga079
Kifaranga :
Mwanati twakuombea uhai na afya na zaidi tuombalo Allah atujaalie kushuhudia utawala wako bajunini twahitaji maendeleo muhimu na ya msingi bajunini yaliombiriwa miaka mingi undachuenedhea umasikini na jamii kukosa maadili
2026-07-23 19:56:41
0
abuuhawaa
Abuuaisha :
SHIDA KUBWA TULIOMAYO NI UHASIDI TU 😅😁😁😁
2026-07-23 06:17:06
1
bala20256
Bala hatun :
Allah atakabali Dua Mwanati 5 fresh InshaaAllah
2026-07-23 12:13:38
0
username.726s
Username :
sisi vijana tuko n ww mwanati 2027 inshallah
2026-07-23 11:43:40
0
samokhafa89
[email protected] :
Huyu Naona ajiachanganya: Shariff alijenga Patte Girls ambayo kwa sasa ni shule bora katika kaunti yetu. bursary zinalipwa na watoto wasoma hadi leo. Walimu wameenda kusomea vyuo vikuu. sasa wataka wainue elimu kutoka usingizini au?😂😂😂
2026-07-23 06:30:35
0
zaidifaruki
Zaid Bin Harith Bin Ubele😝 :
@🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-23 17:19:00
0
To see more videos from user @abdillahi449, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About