uolewe ama ukose kuolewa so long we are in this world..mateso ni constant 😁😁.. meanwhile nataka nifall in love nikiwa 78yrs niteseke 2yrs alafu nikufe😂😂
2026-07-23 20:36:22
18
SamW :
I think she's going through depression
2026-07-23 07:18:44
37
the only one :
pesa kidogo mwajiaminisha ndoa ni matezo
2026-07-23 16:11:35
43
karis :
kwanza ukiona mwanaume akisema ati anataka kukuoa.kitu ya kwanza jua anakuchukia
2026-07-23 16:46:35
27
Miachi Swimming Pool Services :
🤣🤣i want to maaa
2026-07-23 14:10:40
2
x paz :
kwa roho tunajua inasemaje
2026-07-23 16:29:21
6
Rose Rash :
😁😁ata kucheat na Mimi 😁😁😁
2026-07-23 16:49:21
2
Milka kariuki :
ukweli pia mm staki😂😂😂😂🤣
2026-07-23 19:45:16
1
irunya70 :
mm nadai ukuwe mumaz wangu❤️
2026-07-23 14:14:46
0
JAMES :
nimeisoma na sauti ya PST ng'ang'a 😂
2026-07-24 03:09:14
0
ellajosee :
bona unakataa araka ivo😁😁😂😂😂
2026-07-24 10:36:31
0
Phelisters Omuchenya :
unafikiria ako seriously 😁😁😁
2026-07-23 21:11:52
0
ilash :
kwani watu huolewa wakiwa na miaka gapi
2026-07-24 12:41:40
0
Sylvianekesa :
Nikisema ndoa unasema riswaaa
2026-07-24 05:21:27
1
miss💞soita✨️ :
kenya kitu tunaogopa ni ndoa na uji moto the rest tunaeza deal nazo
2026-07-23 19:23:19
1
user2698379475696 :
that no...and y comes out from a woman who has gone through a lot...pole bby
2026-07-23 16:14:12
1
Naserian :
😅😅😅😅😅😅😅😅😂ilove you gal ur confidence thought
2026-07-23 09:35:10
1
KIBALI🥰💞 :
ni ukweli huyo atakutesa 🤣🤣🤣🤣
2026-07-23 14:35:10
4
Kenneth Bariu :
apo kwa adult nurse, do you deal with adults only
2026-07-23 15:05:06
0
liasy :
aki unakataa na maubaya.not all men are evil.mpee tu chance pliz amefungua roho
2026-07-23 14:30:37
4
To see more videos from user @teshwanjuguna1, please go to the Tikwm
homepage.