@babually_investment: 🧱 Kwa nini biashara ya tofali ni chaguo zuri kwa wastaafu? Baada ya kustaafu, wengi hutafuta biashara yenye mahitaji ya kudumu na inayoweza kuleta kipato cha uhakika. Biashara ya tofali inaendelea kuhitajika kwa sababu sekta ya ujenzi haikomi. Kwa usimamizi mzuri, mipango sahihi, na uwekezaji wa busara, inaweza kuwa chanzo kizuri cha kipato na kuruhusu mstaafu kuendesha biashara kwa utulivu bila kuhitaji kazi nzito kila siku. Usistaafu kwenye kazi pekee... staafu ukiwa na biashara inayokuingizia kipato. 💯 📞 Babu Ally 0756654525 #BiasharaYaTofali #BusinessTips #Uwekezaji #Construction #MadeInTanzania

BabuAlly
BabuAlly
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 23 July 2026 06:39:28 GMT
1312
42
4
4

Music

Download

Comments

timothy.mwanga
Timothy Mwanga :
vipi kuhusu usafirishaji wa materials? na kupeleka matofali kwa mteja
2026-07-23 17:08:31
0
jisenajames
JiseJ :
Viwanda vya tofali viko kila kona utauza saa ngapi?
2026-07-26 01:04:01
0
To see more videos from user @babually_investment, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About