jamani jamani jamani jamani huu wimbo uuuuuuuuwiiiiiiiiiiii Yesu nakushukuru sanaaaaaaaa
2026-07-24 04:33:21
1
Rosely :
Uliyonishindia ni mengi hata katikati ya magumu 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-24 07:43:18
1
Monica Njole :
😭😭😭😭 nakumbuka Yesu kule umenitoa jamaniii mimi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-23 07:53:10
2
Mars Macha Qwass :
Nakumbuka 😍
2026-07-23 17:49:24
1
Esther :
me naelewa mbona hakika Mimi nakumbuka
2026-07-23 09:02:34
1
Farajacute🦋 :
Bado sijasahau daima nitakumbuka mpaka pumzi yamwisho nakupenda Yesu wangu wangomen🥰🥰🥰🥰
2026-07-24 13:14:08
1
beby Sophia 🥰❤️ :
yesu wangomeni nashukuru ume nitoa mbali sana kaka klifu mungu aku linde tuko salama ngomeni
2026-07-23 18:36:28
1
Pascal Dismas :
Nyimb nzur xan
2026-07-23 17:17:05
1
Christer david Sanga :
mungu akutunze utoe nyingine nabarikiwa sana na nyimbo zako
2026-07-24 03:41:19
1
caty :
Neema yako Yesu adi leo naishi nakumbuka nlipokataliwa na mama yangu na ata pale nlipo tengwa na ndugu Yesu nakumbuka ulivyo niinulia rafiki akanisaidia nikiwa ngonjwa na sina kitu mimi niko salama kwa YESU TUMAINI PEKEE MAISHAN MWANG
2026-07-23 12:26:19
1
A.loqute :
Yesu nakupenda
2026-07-23 22:09:17
1
Eliza Minja :
hongeramwa na wa ngomeni
2026-07-23 19:05:35
1
Kasiana Edmund :
Yesu atusamehe,kuna nyakati najiuliza kwanini tunasahau haraka wema wa bwana
2026-07-23 09:21:04
1
Brownie Bakes&Tools :
Nakumbuka fadhili zako❤️
2026-07-23 16:27:37
1
Fatuma Salim :
Yaan ni nyimbo hii nakumbuka mengi mnoo ,Babaangu Kuhani Musa kajua kunivusha ,yaan Yesu wa kuhani Musa kibokoooo kabisaaa,kajua kunipigania na anaendelea kunipigania sanaaaaa tu@
2026-07-24 11:12:23
1
🌹mamy 🌺🌷🌺 :
aminaaaaa
2026-07-23 16:09:09
1
estherkabume :
nitakukumbuka yesu wa ngomen sitakusahau kamwe we ni tumain letu.
2026-07-23 13:09:23
2
Esther :
paleeeeeeeeee kwenye ajali na hospitalini
2026-07-23 09:04:18
1
EMMANUEL MAXMILIAN :
🙏🙏🙏
2026-07-24 17:51:17
1
To see more videos from user @masihii8, please go to the Tikwm
homepage.