Alininyima hela nkaondoka na remote ya kuingizia umeme😃
2026-07-24 11:47:34
117
Irene royal Kids :
Ambao sio magaidi tunakaa wap
2026-07-24 07:24:40
166
it's phynar🫦 :
we listen but we don't judge 🤣🤣🙌🏼
2026-07-24 09:30:17
4
Idah te an :
nikiadisia hapa lazima mtamtag ngwajima 😂😂
2026-07-24 09:22:25
106
slim girl🍀❤️ :
Nilimbebea mkaka mmoja hv mimba wa kigogo nikakaa nayo kumpa moyo mpaka miezi 5 nikatoa baada ya hapo nikamwambia naenda kwetu kujifungua akakubali bwana bwana siku ya kujifungua akanitumia milion mbili ya uzazi siku ya arobaini nikamwambia namtoa mtoto na maulidi akatuma milioni 4 alikua anauza suti kariakoo mtaa wa kongo alikua anazo hela afu ndo alikua mtoto wake wa kwanza nikakaa kama miezi mi3 nikamuomba nauli ya kurudi dar akatuma laki 7 nipande ndege na mtoto tuwahi kufika toka hapo sijawahi kupatikana hadi Leo lkn siwafichi nateseka sana saivi nahisi kaniroga kila nikipata mahusiano nakaa nayo kdg naachwa wengine wananionea wivu tu hawanihudumii yaani hii ni laana nimezunguka kwa waganga wote tanga holaaa nasubir subiri nikatubu kanisani bado kdg 😂😂😂😂😂😂😂
2026-07-24 00:23:27
193
miss doreen :
nimetoa mimba nikampikia kama maini😂😂
2026-07-23 14:27:53
98
Baby Lizzy🥰🦋 :
Wengine mnadanganya bna😁
2026-07-24 10:43:10
62
Nadjoz_Leeqai🦋 :
Mwanzo Nilikua najua mm ni mtu mbaya ila baada ya kusoma comments zenu nimengundua nina mengi ya kujifunza😂😂😂
2026-07-24 10:00:11
56
🦅falcon⛎ :
niliweka damu ya period kwenye chips kama tomato sauce
2026-07-24 09:12:03
39
L~B Vee🌸 :
Vile kinyimbo kinavyobamba huku nasoma coment😂
2026-07-24 19:04:23
7
sashahmushi833 :
dahh nimegundua m cina dhambi😂
2026-07-24 18:01:11
8
✿🧸SOSO🧸✿ :
nimepitia zote 493 zikiongezeka niiteni
2026-07-24 12:38:34
12
Ely~ness📌♥ :
Mwanaume ni nani kwan?🥺🥺
2026-07-23 20:16:08
22
💜_coco :
alinicheat nikalala na baba ake akanipa ela nikamnunulia yeye keki
2026-07-23 19:28:44
15
Angel :
Ambao hatujawahi piga matukio tunakaa kwa wapi aseee
2026-07-24 11:50:42
8
Princessushervidot27 :
nlimpa baby wang aonge n baby wangu mwengn wote nkawaambia ongea n kaka kumbe warmer wenza wakaita mashemej😂
2026-07-24 10:54:47
9
Tatu Aden :
Kumbe mimi ni malaika😂
2026-07-24 12:19:36
5
Miss N💞💐 :
tuliokimbilia umbea kwenye comment tujuane😂😂
2026-07-23 18:43:44
10
Anjelina Justine :
anajua ana watoto wawili na mchepuo hd kwao kutambulisha watoto asiowajua bila kujua picha za watoto ni mm nikiwa mdogo na mchepuo wake anaemuhudumia ni mm py ,kingine alijikuta eti ana mahusiano na jini pamoja na mganga bila kujua wote ni mm mtu mmoja na anawahudumia vzr2😂😂😂
2026-07-23 18:39:41
20
julieg045 :
Jmn mtu anirudishe hap naosha vyombo kwanz🥺
2026-07-24 13:27:44
7
saly :
nilikunya ile time ya kuondka na SIJAFLASHI😂😂
2026-07-24 09:41:06
9
zerckiha 💎👑💦 :
sehem ya voice note ipo wapi maani 😂nikiandika nitachelewaa
2026-07-24 09:34:10
7
hidaya hidaya :
nilipika nikala uku yeye akiwa chumba mm niko seblen nakula nikamwambia hakuna mboga 🥺
2026-07-24 09:32:22
17
To see more videos from user @ferna_ndo160, please go to the Tikwm
homepage.