Mim nilikuwa nimekaa nikashangaa simu inaniambia ingiza namba ya siri kuthibitisha muamala weee nilichomia line haraka sna😅😅😅
2026-07-23 09:33:45
284
Lino Perfume :
Hio noma 😂😂😂
2026-07-24 03:08:21
0
It’s husna :
Ndio maana mm sinaga hela kweny simu,Nina deni la nipige tafu tuu
2026-07-23 10:24:49
337
Tech Master 🛠 :
Huwezi kuhamisha pesa kwenye mitandao ya simu bila kufanya "Authentication" hata kama ni malware haiwezi jua pini yako au fingerprint so far kuibiwa kwa namna hiyo bado sana
2026-07-23 09:56:14
117
dj mixer :
Ukweli wa Mitandao ya Simu (M-Pesa, Airtel Money, Mixx by Yas/Tigo Pesa)
System za Mitandao ya Simu Zina Ulizi Mkubwa (Encryption): Akaunti yako ya M-Pesa au Airtel Money ipo kwenye server za kampuni, haipo kwenye hiyo picha au link uliyotumiwa. Hakuna link duniani inayoweza kuingia kwenye server ya Vodacom ikachukua elfu 10 yako hivi hivi kwa "click" moja tu!
Kikwazo cha PIN (Namba ya Siri): Ili pesa itoke kwenye M-Pesa au Airtel Money, mfumo LAZIMA uombe PIN yako ya tarakimu 4. Kama hujaweka PIN, hakuna muamala unaoweza kukamilika.
Mtego Wao Unavyokuwa (Kutumia Link ya Uongo): Mtu akikutumia link, inakupeleka kwenye page ya uongo inayofanana na M-Pesa/Airtel. Hapo ndipo wanapokuambia: "Ingiza Namba yako ya Simu na PIN ili upate Bonasi." Ukijichanganya ukaweka PIN, wewe ndio umejiamulia kuwapa pesa zako, sio kwamba link imekuibia ki-miujiza!
2026-07-23 18:33:53
51
MiraBabe🌺✨ :
Hayo ni mambo ya IT 😂😂😂
2026-07-23 11:57:50
119
Carrymastory :
mi sifunguagunlink yoyot mwambie atume screenehot ya picha
2026-07-23 20:24:46
0
Soso :
Nina kitita cha afu 3 kwenye simu, ngoja niende kwa wakala nikakiokoe
2026-07-23 12:34:24
68
🌸Rahlly🌸 :
yoooh nitoe elf 7 yng sije nikapata presha😂
2026-07-23 19:52:10
0
ChrisBusiness :
link not Rink
2026-07-23 14:29:44
0
~its_nokem 🐐 :
leo nmeangalia Mpesa yangu nikajua nmefungua redio
44.7
2026-07-23 18:01:49
21
Msamaria Mwema 😌 :
ujage big huku tunduma tufugage harmonize big
2026-07-23 20:08:23
0
Ufudu :
Hapa hakuna ukweli, Technologically is not true at all.
2026-07-23 19:43:07
0
BROWN MAUZO🙏 :
siyo Rink na ww ban ni Link
2026-07-23 14:02:08
15
Lettie ♥️ :
Mixx By Yas I think kuna sema wapo weak coz matapeli wengi hutumia mtandao wao, mfano Voda uwezi tumia Mpesa App kama Line haipo kwenye simu husika ila Mixx By Yas unaweza download App ukiwa Dar Line ipo njombe, ilimradi tu uingize code sahihi zinazotumwa kwenye line husika, More than 5 Times huwa napigiwa na wakenya wanajifanya UNICEF una zawadi angalia kuna text utapokea kutoka Mix By Yas utusomee hizo code, kumbe wamedownload application uko kwao wanataka tu nicomfirm
2026-07-23 12:52:25
16
UNTAMED ROUTES AFRICA 🇹🇿 :
mtu nisiemfaham akinitumia link sifunguagi
2026-07-23 12:36:18
8
It's resty🍂 :
nikatoe mia yangu 😁😁
2026-07-23 13:45:26
5
Iryn🤍🦋 :
mimi walinipigia wakanitajia had salio langu lililopo kwenye simu na sijui walijuaje
2026-07-23 10:28:30
59
gracemagafu_ :
SAMAHAN.mimi mtendaji naomba unitumie namba ya mama anaeuza chakula waapo mgahawa maana tunakikao apa Ofisini tuweke oda ya chakula.
Mie nilitaka kutapeliwa kwa dizaini hii aiseee 😂😂😂😂
2026-07-23 12:23:22
15
Annie🥰🌍📌 :
Kweli matapeli niwabayaaa Asa Airtel. Hawana utunzaji wa helaaa za watu vzr yani laki 30k imepoteee kwenyee simu jaman🥹🥹🥹🙌
2026-07-23 10:11:05
23
mwasimbadebora :
😂😂kidog wanitapel jaman lkn huyu alitumia namba ya kenya daaah
2026-07-23 09:28:01
34
GOATNEWS__FX :
Sio iPhone baba iyo simu za android iPhone virus apps huwa azifunguki wala kuleta cookings 😁
2026-07-23 13:50:15
32
Amida Omari 🇹🇿🇴🇲 :
Mm mwaka jana nimetapeliwa laki tano yan na kazi za uku oman na mm wamenifanyia ivyo walinikhak dah 😭😭
2026-07-23 10:33:44
5
To see more videos from user @living_magic_store, please go to the Tikwm
homepage.