@manomaaction: Aiseee leo nimeenda nguzo 8 kwa mara ya kwanza nikiwa nimejificha yani nimevaa kofia namiwani ila watu waliponiona wakaanza shwagwe tu .hata siwafahamu kabisaaa wakaanza kusema tarehe 25 tarehe 25 ,wakaanza kuimba nyorobi nyorobi nyorobi nyorobi aseee watu washajua kabisa manoma action ni baloxi wa nyorobi walah sijawapanga kuwa waimbe mungu ananiona kama nasema uongo mungu anilaani.kwenye mambo yangu imekuwa suprise aseee kiukwel ama kweli nimeamini nafataliwa .Asante mungu 🙏🙏🙏 dream ni shinyanga izungumzike kote🙏🙏🙏🙏 hiii kwangu nikubwa sanaa aseee SIJAAMINI MACHO YANGU NA ME SIJAWACHA KINYONGE KIUKWELI NIMEWAOKOTESHA SINA MENGI YAKUSEMA TUKUTANENI ASCO LOUNGE TAREHE 25/7/2026 MANOMA ACTION VIDEO LAUNCH 🔥 📛 ASANTE MUNGU HII NIKUBWA SANA KWANGU BY MANOMA ACTION STAR 🌟 WA SHINYANGA NO 1 INFLUENCER NO 1