@eusyvia.nish: those days!!😂😂😹😹😹😹👌

🌴Eusyvia 💫Nish🌴🤑
🌴Eusyvia 💫Nish🌴🤑
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 23 July 2026 08:58:01 GMT
183969
16507
243
700

Music

Download

Comments

user72248014260376
Benz ben :
ahahah my alarm tone ya kuamka 4:30 nirevisiye KCPE
2026-07-24 05:45:07
4
justinablee158
justinablee158 :
heri wewe ilinipea mimba🤣🤣
2026-07-23 17:01:49
146
becxxbecky
Becky🦋🦋👄 :
na I love you by Rayvanny 😂
2026-07-24 12:03:04
1
liztwe
linet❤️❤️❤️❤️ :
back 2019😂😂😂nikiwa class 8
2026-07-24 10:54:58
31
user3632011816357
f💕l💗o :
💞💞💞💞 lovely 😍😍
2026-07-23 09:20:19
0
dennis71285
Dennnoh dah mchuz :
old is gold 🪙
2026-07-24 12:59:58
1
panther60119
black panther :
ilituma nidate Bishop mungu forgive me
2026-07-24 23:26:20
0
user74t259yp9u
ROMEO_PIE🔱 :
hii song ilifanya siz akaoleka na unga😂😂
2026-07-24 10:51:37
39
user4462034599736
carl@mueni😍 :
wooye i miss my ex🤣🤣🤣😂🥺🥺😌😩🥲
2026-07-24 12:29:58
1
user6656101211956
Jaymoh jay :
niliweka kama ringtone na 4n inalia mara tatu ndio nireceive😂😂😂
2026-07-23 17:33:47
38
harmsy25
Harmsy :
mimi nilikuwa naiweka najifanya nimepigiwa mostly nikifika place kuna watu😂😂
2026-07-24 12:34:53
12
silvelyn749
silvelyn :
Wa amarura wako wapi😅😅
2026-07-24 08:21:26
9
user391015252
simple $ classy :
Mimi niliandika apologies latter juu ya kuimba tu
2026-07-24 04:02:39
9
prayaminielykitom
Feith 💕💕💕 :
Bora wewe mi nilipoteza memory ya mtu kwa ajili ya huu wimbo hadi ikabidi anioe ndo anisamehe mpaka leo ndo mume wangu
2026-07-24 09:49:37
6
emmawanjiku193
🦋 Emma💦🍀🍁 :
hiii ilifanya nionekane Star kwetu juu ya kudance 😂😂
2026-07-24 02:09:13
14
karingadatiger
karingadatiger :
bila hii ushago huwez take madem 😅😅
2026-07-24 09:53:23
5
aloiceomondi1
Aloice042 :
hizo enzi simu zilikua na speaker bwana,,,sai bila earphones hutoboi😅
2026-07-24 09:33:43
9
mamaglenciah1
Mama Glenciahnivah 💕🇰🇪 :
hi ilifanya 2018 nikalala nje for the first time😂 Ile kupigwa nilipigwa
2026-07-24 14:48:38
2
neptunekimsy
Queen of beauty (N.W.K🫶💲♥️) :
@Queen of beauty (N.W.K🫶💲♥️):heri ww ni ulibuy memory juu ya hii mm nilipata mimba juu ya zuchu na mbosso😂juu ya wimbo yao ya "For your love"😭🤦‍♂️
2026-07-23 22:09:20
5
suzzydavy123
suzzy davy :
hii nayo nliimbia my dad aliponiskia aliniuliza mjinga kuharibu school fee yangu ulisoma ukafika hpo😂😂
2026-07-24 11:55:44
1
daah.zuuh
zuuh tekelo❤ :
me ilinito bikra😂😂😂
2026-07-24 07:06:34
0
feyiz020
it's fay💥💥 :
Hii ndio ilikua inafanya nijue mpoa amukuja kuniona😂
2026-07-23 23:04:26
0
patizpatonize
patizpatonize :
io time nilikuwa nimetahiriwa karibu kindonda ikatae kupona😳
2026-07-24 14:12:06
4
agnesaggy2025
AggyAggie :
na mliwahi fanana 😂😂😂
2026-07-23 17:58:59
2
oc.frank6
🌴🌴Nì Frâñk 🍁🍁 :
watu wa maua Masai tuko pamoja kweli
2026-07-24 07:59:51
4
To see more videos from user @eusyvia.nish, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About