@cawabemedia_: Madereva wanaotumia Mlima Kitonga wametoa shukrani kwa askari wa Polisi anayefanya doria kwa kutumia pikipiki katika eneo hilo, wakisema uwepo wake umeendelea kuimarisha usalama wa watumiaji wa barabara hiyo. Kwa mujibu wa madereva hao, askari huyo amekuwa mstari wa mbele kusimamia usalama wa barabarani, kusaidia kudhibiti msongamano wa magari na kutoa msaada pale yanapotokea matatizo, jambo linalochangia safari kuwa salama zaidi. Madereva wengi wameeleza kuwa juhudi hizo zinastahili kutambuliwa na kupongezwa kwa kuwa zimeongeza utulivu na kuimarisha usalama katika moja ya maeneo yenye changamoto kubwa za barabara nchini. Je, wewe unayepita Mlima Kitonga, una maoni gani kuhusu huduma ya askari huyo?

cawabemedia
cawabemedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 23 July 2026 09:17:54 GMT
222708
18770
520
241

Music

Download

Comments

gwamakaalon
Gwamaka Alon :
atupe namba yake tumchangie asante zetu
2026-07-23 12:28:57
346
user5893707415643
kk :
kwani aliajiriwa kufanya nini ubaya tumezoea uovu hadi mtu akifanya wajibu wake tunaona ni kitu tofauti ya kupongezwa wakati kinafaa kuwa hivyo kilasiku
2026-07-23 15:57:37
46
lusombo20
lusombo :
mtu akifanya mazuri lazima apate maua yake
2026-07-23 13:07:09
394
melano5570
DROZZOPHELA :
UYO ASKALI WA CHADEMA ATAKUA😂😂
2026-07-23 18:12:37
43
unclebire
MJOMBAA :
AFANDE MALCUS RESPECT TOA NO ZAKO.
2026-07-23 13:45:52
52
kallma22
$ :
Nilijua amenisaidia mm kwa sbb mwanamke
2026-07-23 14:24:02
61
skudu067
Skudu06 :
Aisee mwamba yulee namkubaliii 🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡
2026-07-23 16:57:27
2
salamasaidi4
mama zuh :
manshallah
2026-07-23 16:36:25
0
user5065338667621
jaydenplumbing :
Marcuss
2026-07-23 13:33:49
2
kumalo471
Bablai Mnoma :
Kuna baadhi ya Police wanaroho safi sana 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-23 13:33:32
57
chimandosway22
chimandosway22 :
Malcus 💪🏿
2026-07-23 19:35:33
0
bzoo138
Dafah :
Afande peace sana yule one love ❤️
2026-07-23 19:44:24
0
josephaman209
Joseph Aman209 :
5 ten kwa askal wetu
2026-07-23 09:39:29
34
dimosomsinga
Dimoso Msing'a :
Tokea nianze kusafiri njia tofauti sijawahi kuona Askali polisi mwema barabarai kama huyu jamaa hakika anafanya vizuri sana kazini pake hana shida
2026-07-23 13:19:41
54
b.son.group4
Masebele @ com :
Asanteeeeeee baba Kwa heshimaaaaaaa😂😂😂😂
2026-07-23 13:58:46
5
user50673299
DICTATOR :
Anaitwa Marcus Mungu ambariki sana
2026-07-23 14:15:29
21
user6023919298458
D the boss💞 :
Hongera kwa kuona umhim wake
2026-07-23 13:55:58
10
eddy.keikei
eddy Keikei :
hio ni kweli yule police kishanisimamisha jinsi alivyokua ananiuliza tu nikajua huyu ndio police tunaentaka kua Barabarani nikampa zawadi ya calender na mkate Yuko vizuri sana
2026-07-23 12:30:37
7
sipiliankilamya
Sipilian Kilamya :
aweke namba tumchangie yupo myaka ya mbele sana
2026-07-23 15:07:37
7
emmakulathakijangwa
emmakulathakijangwa :
ukifanya kazi nzuri inaonekana na mungu anakufungulia neema zake😊
2026-07-23 17:28:32
9
mzululaji.wa.taif
Mzululaji wa Taifa :
Tumchangie dizel ya mwaka mzima nn eeeeeeet mnasemaje wakuuu??? Afande Tall White
2026-07-23 13:04:44
55
lugamba162
Humutu :
Safi sana mtu akifanya vizuri lazima kupongezwa👏👏
2026-07-23 15:54:42
8
farajatontosia
RN Faraja@ tontosia :
Nimempenda bure japo Simjui na navopajua kitonga palivo pabaya Bas Huyu ni mwamba 🔥🔥⚡️
2026-07-23 12:43:04
9
mode06277
mode :
Sasa mimi ni nani nimkatae jamani kama wenye Barbara Yao wamemkubali🌹🥀
2026-07-23 14:19:29
7
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About