@ashmar_quotes: Mama hakunibeba tumboni kwa miezi tisa tu, bali amenibeba moyoni mwake maisha yake yote. Upendo wake hauna masharti, dua zake ni kinga, na moyo wake ni mahali pa kwanza nilipopata faraja. Ewe Mwenyezi Mungu, mlinde mama yangu, mjaalie afya njema, umbariki katika umri wake, umjaze amani na furaha, na umlipe kwa wema wote alionifanyia. Aamiin🤲❤️🌹.#fy #contentcreator #TrueLove #viralvideo #trending @TikTok @tiktok creators