@mable_luxe_tz: ✨ Transform your living room with timeless elegance. TV Showcase, Coffee Table & Stool Set iliyobuniwa kwa ubora wa hali ya juu ili kuipa nyumba yako mwonekano wa kisasa, classy na wa kifahari. Imara, maridadi, na imetengenezwa kwa umakini wa kila undani. Price : 650,000 tsh. 📍Tunafanya delivery Dar es Salaam na kusafirisha mikoa yote Tanzania. 📲 Wasiliana nasi leo uagize na uipe nyumba yako mwonekano unaostahili. MABLE LUXE TZ – Where Luxury Meets Comfort. #creatorsearchinsights #spacesavingfurniture #fyp #tiktoktanzania🇹🇿 #HomeDecor