Fatima Iddy :
mashaallah tabaraqallah 🥰🥰🥰🥰🌹🌹🌹,,,,,mwanzoni nilikua nimeshtuka ila nimesikiliza hadi mwisho,,,,shehe nashukuru kwa mawaiza yako,,,hakika binafsi yangu,nimeelewa namuomba Allah anijaalie mimi na waislam wenzangu tuwe na mioyo safi,isiyo beba mambo ya hovyo,,,
2026-07-23 10:22:33