@nuktatanzania: Spirulina: Hazina ya maji inayoboresha afya za Watanzania. Kwa miongo kadhaa, wanasayansi duniani wamekuwa wakiuita chakula cha baadaye kutokana na kiwango chake kikubwa cha protini, vitamini na madini muhimu kwa mwili wa binadamu. Wakati mataifa mengi yakitumia fedha nyingi kuuzalisha kwa teknolojia ya kisasa, Tanzania imebarikiwa kuwa na mazingira ya asili yanayoweza kuukuza. Lakini je, Watanzania wengi wanaijua spirulina? Inapatikana wapi? Na kwa nini wataalamu wanaamini inaweza kuwa sehemu ya suluhisho la changamoto za lishe na uchumi? SOMA ZAIDI >>>>>>> Nukta Habari (nukta.co.tz).#katoro #harusi_challenge #harusikatoro #chakulakitamu #dawa