@alnufais07: You are right, respected sir, by the power of Allah, one day you will be president, inshaAllah. 🫶🏼✨🥀💕

ahmed07
ahmed07
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 23 July 2026 10:25:41 GMT
6407
507
92
51

Music

Download

Comments

badcaptani
oppa :
huyu omo ana akili kubwa sana na anafikiri kwa haraka sana yaan uwezo wake ni zaidi ya mwanadamu wa kawaida anavofikiri mwinyi achukue madin ayo aache siasa pemben
2026-07-23 17:43:10
12
husseinbakar981
Husseinbakar891 :
Mola tuwekee hazina yetu hii
2026-07-23 17:24:54
17
silento_man
Silent_Man🤐 :
Huyu jamaa anakitu💯
2026-07-24 05:09:34
2
albusaidy3
Sultan Jamshid :
OMO ameongea maneno mazima yenye kujitoshelezaa Allah ampe afya njema
2026-07-23 18:57:27
12
user9280200558174
Ali salim :
Allah atuwekee hazina yetu
2026-07-23 20:36:05
3
bin.muhine
Bin Muhine :
huyo hajaishi huku ZANZIBAR watu hawana hele ya kwenda kutizama mpra live tunaishia kwenye tv
2026-07-24 13:06:01
2
ifniy.faki
IFNIY FAKI :
saivi ety ndo wanamsifu omo, wakati wao kipindi cha kampeni ndo waliokua wakimponda, yani iyo njaa haina chama tutateseka sote sio act wala CCM
2026-07-24 21:01:22
4
user2922741519
Ahmed Said :
masha Allah
2026-07-24 05:32:51
1
omarhamad2736
Omar Hamad :
mkweli Muaminifu Zanzibar Kwanza vyama baadae
2026-07-23 17:55:43
6
muzungu26
Muzungu :
Allahu akbar,huyu jamaa Allah ampe umri mrefu
2026-07-24 11:45:45
2
lildebe07
Lildebe :
Jamaa yuko na maono makubwa sna na zanzibar mashaallah
2026-07-23 18:03:00
7
abusalamamadogo
Abusalama Madogo :
OMO MUNGU AKULIPE
2026-07-23 16:23:29
8
nassour.mobarouk
Nassour Mobarouk :
Kwa kweli Omo ni hadhina ya taifa la Zanzibar
2026-07-24 09:08:08
2
redmondbaby
Abuu mzenji :
Tatizo sio kuwekeza pesa zitarudi vp au ndo tutakamuliwa kilasiku bara barabarani ZRA, Silver na police kilakukicha
2026-07-23 20:36:36
3
yuzoboy002
Yuzoboy002 :
ukweli utabaki kuwa kweli ukiacha siasa maneno yke utayaelewa sio zanzibar wala sio tanganyika
2026-07-24 05:50:07
2
brother.alhujjah5
Brother Alhujjah :
Zanznzibr ni nchi yangu Ila kwamambo yanayo fanywa na serekal yasas ni mazr sanaa ila yanaendeshwa kisiasa na ushabik wanafanya mambo makubwa lkn nchi inazd kuwa maskin na wananch tunateseka kwa kodi na ukikamatwa na kosa bs pesaa nying unatoa ukwel wa haki Serekal ya sas inaushabik mkubwa na siasa bs
2026-07-26 04:52:15
0
hamiarsalum94
Hamiar salum94 :
Wallah tukipata rais kama huyu muda wa miaka 5 tu mifumo ya kujikwamua na maisha tutaanza kuiyona
2026-07-27 07:16:10
0
user3197791469055
Child rashard :
Kiukweli hata ukikopa bank hauwezi kulipa pesa yote ambayo unaipata unalipa nusu ama robo yake na pia kuna kuwa na mkataba maalum kwaiyo wacha nchi ikope roma haikujengwa kwa siku moja wala maendeleo hayaji kwa siku moja wananchi tunafaidika kwa mengi tu kwasasa siasa ziwekwe mbali tuimarishe nchi yetu
2026-07-24 05:53:19
1
dizzo199
dizzo199 :
jamaa ameongea kila kitu point👍👍
2026-07-23 18:46:03
5
ahmed.omar2232
Cute Reey❣️💝 :
jaman tuache unafiki tungempatia nafasi huyu jamaaa anakitu ndani yake na anauchungu na nchi yetu anataka maendeleo watu wasilalamike kuhusu njaaa hap nchin
2026-07-24 05:47:13
2
akhiy03
Akhiy01 :
Namuuliza Ndgu mwandishi kama Pato la nchi limepanda mbn hali za kiuchumi za wananchi ni Duni?
2026-07-24 05:42:49
1
abusalamamadogo
Abusalama Madogo :
huku hakunachochote
2026-07-23 16:19:36
0
nasir.ali1445
sahim :
dah kiongoz mwenye maono makubwa
2026-07-24 04:45:13
1
allymasmstz
Ally Ma-sms tz :
Ila ni wale wale wote
2026-07-23 20:34:09
0
mgodi967
Mgodi :
Inshallah 🥰🥰🥰
2026-07-23 19:46:10
2
To see more videos from user @alnufais07, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About