@worship.in.spirit: Kila siku kuna kitu kipya Ambacho Mungu ana deal nacho. Unaweza kuwa umeokoka lakini unamchakato wa utakaso kuondoa vitu vinaondoka ndani yako. Kuna dhambi na tabia. @pastornsiandumi kwenye panel session na @ablenty_sadock #tiktok #trending #dhambi #wokovu #gospel