@amiloveking: #𝐤𝐰𝐞𝐭𝐮 𝐤𝐚𝐞

ᵃᵐⁱ ˡᵒᵛᵉ🌹
ᵃᵐⁱ ˡᵒᵛᵉ🌹
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 23 July 2026 11:22:46 GMT
82702
1662
92
770

Music

Download

Comments

comrule
Fidodido :
Halafu mimi sikuwahi kujua kama Zanzibar kuna lugha nyingi zaidi ya Kiswahili
2026-07-23 17:54:28
6
yagiz.singh1
Yagiz Singh :
hebu mie nibakie kwetu pemba
2026-07-24 10:52:39
3
mustafa.ismail18
Mustafa Ismail :
Unguja raha sana wakusini .na wakaksazini na wilaya ya kati safiii sana
2026-07-27 07:07:23
5
ma2gakiba2
Ma2gakiba2 :
Sasa hapo ni maneno mepesi Ila kuna Yale wanayo ongea wazee utabakia kuangaliatu kwamfano [ kawaviko =kawawapi au yukowap ,]
2026-07-24 08:51:46
2
mimitto90
mimitto :
sema rehema ana maneno balaa🤣
2026-07-24 02:57:41
1
kareembeka.ally
Kareembeka Ally :
douuh
2026-07-26 13:07:33
1
hhafidh7
Hhafidh :
Vava Hapa Vano. Hapa mie naona vava itumike vava vava Kwa maana ya hapa hapa, na Vano. ndo iwe hapa. Ayo ndo maoni yangu sijuwi nipo sahihi ?
2026-07-23 15:58:55
1
abdulmohd189
Little Abdul :
lahaja halisi
2026-07-23 20:19:46
2
kiddrc7
بن سليمان، بن عمر، :
Hiyo sio lahaja ni lugha kabisa
2026-07-24 05:54:11
2
councelor7
COUNCELOR :
kwenye vava umekosea iyo inasemwa vaava mean hapa hapa
2026-08-08 20:46:49
1
fakihi77
Dr Fakihi (DDS) :
Bora tu wanatusema sana 😂😅
2026-07-23 18:52:20
1
adammadadi132
Adam Madadi :
b
2026-07-23 17:52:29
2
user3925218610536
mapesa :
kwani hii ni lugha mm najuwa lugha ya wanyamwezi
2026-07-23 16:54:33
1
hamis.hamis862
Hamis Hamis :
aah mamaeee iko poaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-24 04:13:08
1
sabratamim
Chaby-satma :
kikwetu kwetu zaid,rahaaa
2026-07-24 18:02:57
1
darweysh3
Darweysh :
silikona = sijakuona lote ni neno
2026-07-23 13:31:00
1
lilz_407
Leyley collection 🧚‍♀️ :
Utufundishe na kutamka tu nisije chowea vitu sivij mba nyua sahih😂
2026-07-23 12:45:13
1
mustafa.ismail18
Mustafa Ismail :
mama rehema M/mungu akurehemu .somoyo ananikosha roho
2026-07-27 07:06:30
1
rhabadz
rhabadz :
mmono au nmono(nimemuona)???
2026-07-23 16:55:20
1
user66860241394968
user66860241394968 :
Nzuri inapendeza
2026-07-23 21:04:07
1
user122912961
Mohamed Said :
raha kweli. jamani kaniposeeni kae 🥰🥰🥰
2026-08-24 17:46:34
0
user2666676977193
user2666676977193 :
tujuwane🥰🥰🥰🥰
2026-09-01 20:39:45
0
official.layly04
Official Layly 04 :
ameshakuwa mkubwa saiv
2026-09-02 08:11:46
1
amiloveking
ᵃᵐⁱ ˡᵒᵛᵉ🌹 :
𝐜𝐨𝐦𝐞𝐧𝐭 𝐧𝐞𝐱𝐭 🤣
2026-07-23 11:23:10
1
poa449
user1051741143592 :
neno pija nnawasiwasi nalo
2026-07-24 10:32:47
1
To see more videos from user @amiloveking, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About