@devotajs: Part.1: Mteule jinsi gani ya kuvunja laana za kizazi/Ukoo (Chosen one how to Break Generation Curses) #fyppppppppppppppppppppppp

Devota JS
Devota JS
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 23 July 2026 11:30:34 GMT
14542
941
68
46

Music

Download

Comments

nyasembo886
nyasembo :
m naona akuna ndoa na tunazalia nyumbani nashindwa nitavunjaje na sijuwi mtu wa kushare naye
2026-07-23 11:41:56
8
jojo.de.gyal
'just call me 'Qn DETACHMENT ' :
i always declare freedom daily,my family is freed,my life ,any familiar spirits, family curses that's delaying our progress out in the mighty name of Jesus we're free🙏apart from Maombi, fasting,naweza toa sadaka in form of a sacrifice especially uko children's home,or needy people?Nisaidieni juu stakii hii curses iendelea kumea iiishe TU🙏
2026-07-23 14:40:25
3
faithmwendwa02
faithmwendwa142 :
nauliza kama naweza share na my dad because yeye ni mchungaji ama pia yeye hatanielewa
2026-07-23 17:31:38
1
stella93194021
stella93194021 :
ila kiukwel huwa hawasemagi walichofanya so Muhimu ni kumuita MUNGU tu kwa toba na rehema ya kweli
2026-07-24 10:43:41
1
maam.rui
Madam boss 💎 :
Nakufatilia sana dada🥰
2026-07-23 16:30:01
2
ham.boy.ms
Ham Boy Ms :
hili jambo ndio linaliniumiza kichwa kuvunja laana ndio kupi na unazivunjaj lakin njia zake madame ni zip nazo¿🥺🥺🥺
2026-09-04 19:56:26
1
selemanmakwaya830
Seleman Makwaya :
sister kama umejua atima yako unatakiwa ufanyaje jmn mbn atuelew
2026-07-28 15:59:28
0
issaothman345
issa :
Sasa dada yangu devota hapo kwenye kufuatilia kuna wakati itabidi uulize kwa watu wa familia, hapo utakapoanza kuuliza si ndio ile chuki itaanzia hapo?
2026-07-24 06:18:31
2
user544946240625
user544946240625Agnes 1993 :
Nakuelewa sana dada 🙏🙏🙏🙏
2026-07-23 19:23:26
0
greater5035
Greater :
Nimevunja laana zote za ukoo amen.
2026-07-24 17:45:05
2
user7655531499758
ashlii :
nanikwann kila familia ina mchawi wakuharibu kizaz aswa mama ama nyanya ama ndugu nikwann
2026-07-30 08:16:48
0
naomi.tarus1
Naomi Tarus :
Kwetu kuna shida kubwa but nikiuliziwa hawawezi kabisa
2026-07-24 00:37:06
1
cuterazan1
Hazan hanim :
n kweli dada mm nlioanza jua nkawa najiuliza maswali kwa nn wakafanya hivi?
2026-09-22 22:44:39
1
jameson.mpesa
Jameson Mpesa :
Ukweli
2026-09-05 09:51:51
1
claudiajohn615
Claudia John :
mhhhh mbn mim huw mama yangu ananihukum sana na laana ju hata kam kosa so langu ni kwann af nakuwa naumia sana moyoni
2026-07-23 13:40:53
1
hussein.gulamseni
Junaid(Hussein melkior) :
Hapo mimi nimekuelewa kuna maaagano yalifanywa na hao ancestors wetu sasa kwa sasa hayafanywi ndiyo maana yanatushika na kutuvuruga kupitia magonjwa
2026-07-23 12:24:43
1
chosenoneboy
😇CHOSEN ONE🇹🇿 :
2026-07-23 19:24:09
2
jirani_yangu1
Jirani Yangu🤣 :
dada mm nishachunguza nikajua watu awakai kwenye ndoa ila wanafanikiwa kimaisha ila me sielew kiundani zaidii
2026-08-31 13:43:28
0
mariah31468
mariah@ :
kwetu ni magonjwa yanayofanana hadi yameshafika kwa wajukuu na vitukuu vya babu zetu
2026-10-12 22:22:23
1
usetaurus8
Neymaah Naddin :
Mimi sina dini sasa itakuaje 😂
2026-09-19 08:22:34
1
joyce.nicholas305
Joyce Nicholas :
Mungu atusaidie ni kumuomba Mungu aingilie kati na kuwapata watumishi sahihi watusaidie miungu ya ukoo kwa upande mwingine unakuwa na uhalali juu ya mtu sababu mababu zetu wazazi wetu waliiabudu,,,so ni Mungu
2026-09-15 09:59:00
1
user8213310506155
abigael mutheu :
kwetu ndoa akuna na umasikini
2026-10-08 19:11:46
1
kindambaskindamba
Kindamba S Kindamba :
dada kwetu tunatabia ya kuapizana nifanyeje
2026-09-13 10:43:10
1
winladygeorge
wokovu :
dada nmewah kuchunguza km kuna uganga kwetu lakn sijapata ila uhalisia kuna uganga unanifwatilia nifanyeje?
2026-08-07 11:19:50
1
bintisayuni47
Binti sayuni :
madam samahani nakupataje
2026-08-03 19:32:00
0
To see more videos from user @devotajs, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About