@salma_naafya: Replying to @flora Bocko #salma_naafya #foryoupage #viralvideos #fouryou #USA

Ms. Salma_naafya🥰
Ms. Salma_naafya🥰
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 23 July 2026 11:53:40 GMT
133229
2613
147
51

Music

Download

Comments

jackielucas92jacki
mama Amal❤️ :
nilijikuta nabeba mimba kwa kufata mkumbo saiv nalea sitakaa nirudie kutumia hii
2026-07-23 14:04:05
20
shakira_og35
Shakira_og35 :
na mimi nimetumia nasubuli miujiza ya mwenyezi mungu
2026-07-24 06:24:58
7
user331740846187
Jasmin Ahmed 🤲 :
Yakweli haya jaman nasisi tuitwe mama😭😭😭
2026-07-24 05:54:41
9
mwajuma.bakari63
Ukthy M :
Na km period sipat na mimba sina
2026-07-23 20:11:15
1
dorin6568
mrs fracio :
nanikali kweli ila kwakuwa tunashida mungu atusimamie wenye hitaji lamoyo wetu🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-23 20:16:08
5
angel.peter728
Angel Peter :
ni daw ya nn
2026-07-23 19:38:31
0
minahsamwel
minahsamwel038 :
unakunywa ukiw kweny mp au ukishamaliz kipenz
2026-07-23 16:35:39
1
user52494536885052
Nasha🔐😍 :
samahan hii ni karafuu jmn nisaidien
2026-07-24 10:26:25
1
elizabeth.matalum6
Elizabeth Mataluma :
nasikia inaua nguvu ya uzaz wa mpango hivi nikwel nawwza beba mimba huku nnasindano ya uzaz
2026-07-23 20:54:17
3
nassrah8026
Nasrah 💕 :
Nilikua nakunywa kwa kaz nyengine ikafanya kazi nyengine imagine 🙌
2026-07-25 21:34:02
2
umuhdeofficial
🌸momy AYLAM💦💦 :
unaeza kunywa ukiwa period
2026-07-23 20:04:26
0
ms_hellen3
hellen❤️ :
nakunywa au inakuaje
2026-07-23 13:38:09
0
maelicls
Mary Yanga :
Inasaidia NN kwan😃😃
2026-07-23 19:10:56
0
user759950122
💝💟 :
ebu nijaribu nione maana😔😔 duuh
2026-07-23 15:27:57
0
addy.eustace
Addy Eustace :
nlitumia wik moja sjui iliingia Lin naona Tu dalili nkapima nkakuta positive wakt hazikiwa siku za hatar sasa ndo sjajua Ka n twins au n mmoja
2026-07-24 06:16:04
0
yusrasalumu4
nana yuu❤️❤️❤️ :
mm ninaushuda jaman staki hat kuisikia😁
2026-07-23 16:13:52
0
jescamartine8
Cherry🦋🌸 :
unakunywa mda gan na kwasiku nyo
2026-07-23 19:38:24
1
wittnessmichael77
Wittness Michael :
unawezaa weka sukar
2026-07-23 17:18:01
0
mumyg63
Mumy g :
inatoaa nn
2026-07-23 18:42:48
0
tinah5042
Tatii 💕💕 :
Unaweza ukanywa ukiwa siku za hatar?
2026-07-24 15:50:29
0
lifepat3
@ish🥰😋 :
nzur san
2026-07-23 18:17:55
1
aznat.hussein
Aznat Hussein :
inasaidia nink
2026-07-24 14:59:37
1
ms.cyntha8
CynthaHaika💕 :
ni kwa wadada tuu ama pia wanaume?
2026-07-23 17:45:43
0
aneth6588
ANETH WISTON :
inasaidia nn jamani
2026-07-29 09:09:09
0
user7084982448746
user7084982448746 :
asante hiyo ni nzurinsana
2026-07-29 10:50:57
0
To see more videos from user @salma_naafya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About