@kkktebenezershy:

KKKT EBENEZER SHINYANGA
KKKT EBENEZER SHINYANGA
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 23 July 2026 12:14:21 GMT
44375
1514
166
311

Music

Download

Comments

apostle_msechu
APOSTLE MELKIZEDECK MSECHU :
MZEE UNAONGEA VITU AMBAVYO HUYO PASTOR HAKUONGEA...!!!
2026-07-23 21:41:46
40
uncle.uncle998
Uncle Uncle :
Exactly
2026-07-24 09:20:04
0
samsonbarnabas835
samson barnabas :
well said brother
2026-07-24 10:37:03
0
jembe810
jembe :
SAFI SANA KAKA THAT IS REAL REALITY
2026-07-24 00:21:37
5
rmwangila
Raymond Mwangila :
very well spoken Hon DC Mtatiro
2026-07-23 21:27:39
7
happy.mgonela
happy mgonela :
Sema watu tupone jamani tunateseka na watu wa degree
2026-07-23 14:36:59
20
user8509150870152
s jk i am Tanzania :
degree sio makalatasi ni uelewa
2026-07-23 20:37:18
13
regina.haule0
Regina Haule :
mwache rose aendeelee kutupa mafundisho mazuri
2026-07-24 06:23:05
4
rebecca.yassin
Rebecca Yassin :
boksa nafua na sinunui vitu kwa siri ninapoishi muda huo ndio kwangu ikitokea nimetoka nitaanza upya ndoa yangu naipenda mwaka wa 12
2026-07-24 07:24:59
11
agego09
AgeGo :
Kwa umri wangu nimegundua kila ndoa ina changamoto zake yaani utaratibu wa ndoa yangu ni tofauti na ndoa ya wengine
2026-07-24 04:22:57
15
bishop.mmbando
Bishop Mmbando :
kwani nyie hamna kitu cha kuongea mpaka Rose Shaboka aongee na ndipo muanze mjadalaa? hayo yoote hakuyasema mnachukulia maneno yake out of context ila mnaharibu image ya ujumbe wenyewe. ila pia ndio mnazidi kumpa umaarufu
2026-07-24 01:06:41
6
parvy_124
parvy_124 :
yaani sijui siku hizi wanaume wamekuaje,wanakimbia majukumu
2026-07-24 12:41:25
2
user28276605500665
user28276605500665 :
ndoa isiwe chanzo Cha kutesana bwana sa kama mtu unaona hiyo ndoa haikupi amani Kwann usiondoke
2026-07-25 06:11:38
0
msemakweli50
HI WILL :
UNAPATIKAN WAPI TUANZE UMOJA WA WANAUME
2026-07-23 20:00:37
10
mmllt140
"Brave Warrior" :
ooooooooh my God help us
2026-07-23 19:11:42
6
sadixa.media.st
SADIXA MEDIA ST :
amen
2026-07-23 19:06:38
8
user6158465135827
urassag :
pamoja na degree huku mwelewa rosa hizo degree ni buree kabisa
2026-07-24 08:48:54
2
nyastiki
Nyastiki :
mpumzishe mchungaji Rose please
2026-07-24 04:41:23
0
lina183896
Lina🌹 :
Jameni😢Pastor hakusema tusifue au tusifanye wajibu wetu au tusiwatii alisema maisha yetu yasiishie kwenye majukumu ya nyumbani pekee..
2026-07-24 12:27:33
0
regina.haule0
Regina Haule :
kwani mwanaume ni nini
2026-07-24 06:22:12
1
steven.mukasa3
Zek ice cream :
waambie kabisa Yule pastor alitakiwa aitafakali kabila ajaongea ,au asingeongelea kabisa ni bado mdogo kuongelea mambo ya ndoa Kuna mapastors wazee wapo kimya
2026-07-24 07:04:03
3
khamiszonnazonna
king ngosha or Mr smart ways :
kofia kanisani ya nn
2026-07-24 06:26:37
1
elizabethjuma243
Elizabeth Juma :
mmh sasa siwewe bwana wanaume wanatutesa sana
2026-07-24 05:04:45
2
enantiomer72
tinandesario :
umenena ukweli DC
2026-07-24 03:09:43
3
mwigo0985
Mwigo0985 :
Yaani mna mshambulia dada wawatu na wakati alifikisha ujumbe tofauti na mnavyotafsirj
2026-07-24 06:45:30
2
To see more videos from user @kkktebenezershy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About