@kidu_works: Ripoti zimefichua kuwa kiungowa Argentina Leandro Paredes (32) alicheza mechi tatu za mwisho za Kombe la Dunia akiwa na maumivu makali ya mbavu, huku wakati mwingine akishindwa hata kupumua vizuri. Siri hiyo ilifichwa ili wapinzani wasije wakaitumia kumlenga kwa makusudi. Hata hivyo, licha ya kuvumilia maumivu na kuisaidia Argentina, Paredes aliingia tena kwenye mjadala baada ya kuhusika kwenye vurugu za baada ya fainali, tukio ambalo sasa linachunguzwa na FIFA na linaweza kumletea adhabu ya kufungiwa michezo ya kimataifa. 👉 Wewe unaonaje? Je, Paredes ni shujaa aliyepambana kwa ajili ya taifa lake, au ukorofi wake unaharibu sifa zake uwanjani? ________________ Tufuatilie kwenye page zetu za Mitandao ya kijamii @byteview_tz lakini pia 🔴 Youtube yetu BYTEVIEW TZ kupata habari motomoto ________________ #ByteView #viral #fyp #trending #tanzaniantiktok🇹🇿