@radio47_kenya: Paybill ya Sifuna imefungwa! #BillyNaMbaruk #HapaNdipo

Radio 47
Radio 47
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 23 July 2026 13:54:23 GMT
87471
4489
102
50

Music

Download

Comments

user516587303519
sianzoo :
but huwezi fungi pay bill ama hata till without protocols bana
2026-07-24 07:07:46
1
user9425927295170
G.O.A.T 🐐 :
sifuna has withdrawn all the monies 😃😃😃😃
2026-07-23 18:30:56
4
emmanuelwanjala1037
emmanuelwanjala1037 :
we shall boycott safaricom
2026-07-24 04:21:00
1
tim123tek
@Tekela :
Alete bank account tutume uko...na tutahamia Airtel
2026-07-23 14:49:11
34
kens.home
kens home :
mko sawa bro sifuna president tosha
2026-07-23 18:27:59
6
baitee91
baitee :
sifuna siku zote no matter what
2026-07-23 23:06:14
2
jaylovefarm01
Jay love🇰🇪🇬🇧 :
sifuna toa order we boycott safaricom
2026-07-23 19:15:12
1
mainake253
Human X :
imefunguliwa we have also given orders kama wananchi
2026-07-23 20:12:02
22
user26292708670271
benjamin@3 :
Hiyo safaricom wakichezea sifuna tutagoma kutumia huduma zao
2026-07-23 14:21:30
48
grandsonomoto
aka@omoto :
hawa wa paybil ni wale wa kuibia watu
2026-07-23 18:19:05
10
inlandtaipan89
DON(the philosopher).DAJA :
uzuri mumefunga Ka nishatuma....bila pesa ama tukuwe nayo wazee wote home lineups ni SIFUNA, Nyoro,babu,Amis,wamunyinyi,wanyoyi etc the rest uv been in power since we were born no difference
2026-07-23 22:56:06
2
engine0471
kenya 002 :
hiyo ni mchezo ya town.....
2026-07-23 17:47:57
6
jaro.soja25
jaro soja junior :
sifuna atafute pesa mali kwingine
2026-07-24 01:10:57
1
mike_kilo_sierra
MKS :
Ulimuamini?
2026-07-23 18:23:13
3
kennedy.omondi51
Kennedy Omondi :
sifuna ametoroka na pesa za Linda nonsense,sifuna ni mwizi
2026-07-23 23:57:44
0
alexchumba0
alexchumba0 :
walikuwa wanajaribu ku create attention juu pesa haikuwa inaingia😂😂😂😂
2026-07-24 05:37:37
2
mwawemaaliomari
MWAWEMA ALI OMARI :
The above anaogopa sifuna, we will support him wapenda wasipende
2026-07-24 05:02:22
1
vankado
vankado :
lazima washtuke juu hii ni movement Kali yaani wengine wakihonga wananchi ili wapewe kura Sisi tunampa pesa kufund mwenye tutampa kura
2026-07-23 14:23:23
6
goddyz4
Goddyz :
Sifuna ni project ya mwananchi
2026-07-24 05:36:23
1
mr.og.njenga.fami
mr OG "njenga family :
vile inafaaa
2026-07-23 19:08:25
1
voke798
Kevin Shatimba ™ :
from above watajua kura yangu kwa sifuna hawawezi funga
2026-07-23 14:19:16
5
reenladeen
Nasmarh Deen :
hawezi post kama hajafanya inquiry,ata nyinyi mreason eii
2026-07-23 21:37:03
1
amoswafula851
Amos situma :
safricom wamekuwa wakora😂😂😂😂😂
2026-07-23 18:25:56
1
ericksion0
ericksion0 :
hakuna paybill ya Airtel afungue, safaricom wametuboo
2026-07-23 19:31:17
1
shikangamasero
Shikanga Masero :
Wafungue Pochi la Biashara sasa.. Tuendelee kuchanga
2026-07-23 14:19:51
1
To see more videos from user @radio47_kenya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About