Mimi na rafk angu tukijaribuuu kumfikiliaaaa Mwalimu seleman 😂😂😂
2026-08-11 10:29:29
154
Mtoto wa Bibi..🙂 :
Mimi na Caren mdada wa kichaga aliniambia kuna course Moja ina course tatu ndani yake si tukaja kichwakichwa bhana tukijua tukimaliza tu ajira nje nje 😂😂😂😅 BACHELOR OF PUBLIC SECTOR ACCOUNTING AND FINANCE pale TIA 😅😅 nilicho Baki nacho sasa hivi ni kujua kuvuka barabara tu😂🙌 itoshe kusema naombeni kazi
2026-08-11 13:39:04
62
brave girl :
education na field jaman wallahi nachoka
2026-08-11 06:58:34
22
it's HawaV 🎀🎀 :
mm na rafiki yangu tukijiuliza kwann tumekosa field 😳😳😳
2026-08-11 09:04:58
22
joantarimo2 :
I wanna be a lawyer 😩😂😂
2026-08-10 16:48:13
7
C’est Elle :
Don’t forget our brother wa Tanzania
2026-08-12 08:21:57
7
officially Msami Lyimo :
ivi mbona sioni watu law huku🙌🙌🙌
2026-08-12 06:04:17
4
Medrin :
Kuna siku nililia Adi kamasi Kisa codes 😂
2026-08-12 16:40:46
5
Roger More :
Hii tabia ya kusoma comment na hujamaliza video umeanza lini😂😂
2026-08-11 19:41:52
7
#ItisFLaVy :
kikao cha moto kinapoozwa
2026-08-13 08:41:05
3
YOUNG OF HEART. :
accountant
2026-08-11 04:52:33
3
dani-el-s :
Tour guide Fedheha sana🥺🥺
2026-08-12 08:58:59
0
ابنو موسا :
RIMOTAMO NDY BRAND YANGU
2026-08-11 12:30:33
7
Anthony Kiphagio :
PRAY FOR JUMA JUX 😭
2026-08-11 12:11:06
5
Bob jr.11 :
mm najut kuchukua kozi ya military
2026-08-13 17:59:38
0
Ernest :
sijui ni nani aliniambia nikasome Geomatics
2026-08-11 11:57:03
7
Emily kid7🧸 :
huyu si shabiki wa simba🤣🤣🤣
2026-08-13 18:48:29
3
Abui 😎 (BOSS KAZI) :
KUPATA ANAEWEZA KUSIKILIZA HISIA ZAKO KWENYE SITUATION YEYOTE NI BAHATI SANA.
2026-08-12 11:51:39
4
Saida🧕🏻 :
Itoshe kusema saiv nauza zangu mifuko 😂
2026-08-12 06:06:46
0
Amina Masoud :
ACCOUNTING WITH IT pale IFM
2026-08-12 12:05:36
3
The roaming Gee :
Wanangu wa BPSAF 😂😂😂😂
2026-08-12 04:44:00
0
Ralphwise :
shabiki wa Simba hao😂😂 wanawapalamikia viongozi wao hana 😂
2026-08-12 15:07:51
2
⭐🌟 mirry 🥰 🤩 :
wanangu mnazingua bhn nilikuw na followers 4 leo watatu nan Kan unfollow
2026-08-13 01:26:18
0
🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡 :
udaktar
2026-08-12 08:01:34
1
To see more videos from user @university_memes255, please go to the Tikwm
homepage.